Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,892
Mpumbavu ni were hujui unajifanya unajua ukiulizwa una acc ya crdb huna ila unajifanya unajua kumbe mjinga tuMtu mbumbavu dawa ni kumuacha na kumpuuza tuu...Sipendi kuwa quoted kumaanisha kwamba sitaki tena interaction na mtu aliyeshupaa kwa upumbavuu
Mkuu rkgx utatupa mrejesho umefikia wapi..Hizi huduma za Visa bado ni changamoto kwa kweli kwa benki za nyumbani. Nilikuwa nataka kufanya biashara ya e commerce mpaka sasa nipo njia panda maana njia ya kupokea malipo kwa visa bado haipo clear. Kuna thread nilianzisha hapa ina relate na hili tatizo lako kwa kiaina fulani. Ku receive payment/refunds inaonekana kuna changamoto. Benki gani inasupport kupokea malipo kwa paypal au visa/master cards
Ma bush loyal ingieni PayPal msome sio kuja hapa na hoja za kipuuuuzi vitu hamjui mnajifanya mnajuaHow do I withdraw money to my local bank account?
Here’s how to withdraw money from your PayPal balance to your local bank account:
There’s no charge to withdraw money from your PayPal balance to your local bank account. Some banks may charge a fee for transfers. Contact your bank directly for more information.
- Log in to your PayPal account.
- Click Transfer to your bank or Withdraw Moneybelow your PayPal balance.
- Click Transfer money to your bank account.
- Enter the amount you want to withdraw.
- Select the bank account you want to credit, then click Continue.
Transfers requested before 7:00 PM ET on business days are typically deposited the next business day, depending on your bank. All withdrawals are subject to review and, in some cases, may be delayed or blocked if we identify a problem. Additionally, bank transfers will not be deposited on bank holidays.
You can also withdraw money from your PayPal balance by requesting a check. (There’s a fee of $1.50 USD for check withdrawals.)
Return of undertaker, umeisoma vizuri hii thread kabla ya kucomment?We bwege kweli kaleta huku mada JF ili iweje na wewe umejibu kama nani
Yes you are right mkuu. Pay Pal ni kama secondary vendor. Yaani badala hela kwenda moja kwa moja kwa primary vendor inashikiliwa na secondary vendor. KWa hiyo kama secondary vendor anatakiwa kurudisha hela kwenye akaunti. Ila inaonekana kuna tatizo kwa Tanzania kurudishiwa hela. Ila kwa nchi nyingine hela unaikuta kwenye akaunti yako. Kuna watu ambao wanatumia account za paypal kuuza bidhaa nje ya nchi imebidi watumie benki za nje. Benki za ndani bado hazipo tayari kwa fursa ya e-commerce.Wana support tu payment kwa maana hela zinaenda direction moja tu (customer to supplier/vendor). Hakuna bidirectional movement ya hela..Huna ufahamu wa unachoongea. Kwa maelezo yenye ufahamu mdogo hujua hata PayPal ni nini. Nashauri ujielimishe kwanza. PayPal wana pore fund wanarudisha kwenye account ya bank ya mhusika na si account ya PayPal...pay pal ni gateway.
Nimekujibu how fund zinarudi kwenye account huna hoja una vioja shida shule za kata hujui kitu kaa kimyaNaomba chonde chonde msibishane na huyo bwegeee mtozeniii.. Yaani katika wote hapo tunaochangia anatuona wajinga. Wengine ni wataalamu wa hii mifumo lakini wote tunaonekana wapuuzi tu teh teh
Watu humu shule sijui tunaenda kufanya nini umesema umenunua kupitia PayPal na pesa iko PayPal sasa hapo Crdb atarudishaje hela wakati iko kwenye acc yako ya paypal? Ni lazima wewe uhamishe pesa iliyoko PayPal kwenda bank kwasababu bank haina access na account yako ya paypal
Nyie mabwege mnaharibu biashara za watu kwanini usiende tawini unakimbilia JF ili iweje ni ujinga na ubwege
We bhana ingawaje una lugha za hovyo huku ukijifanya ni banker lakini wala HUJUI lolote! Kwanza kuonesha hujui lolote ni hapo unaposema eti pesa inakuwa PayPal sasa CRDB watarudishaje!******** ni were hujui unajifanya unajua ukiulizwa una acc ya crdb huna ila unajifanya unajua kumbe mjinga tu
Nimeisoma yote ndio maana ninamjibu na kama kanunua na hela iko PayPal nikamwambia SMS ya refund imesema pesa iko local bank au PayPal nikamwuliza bank inajua kuwa unaaccount paypal na nani ana access PayPal account?Return of undertaker, umeisoma vizuri hii thread kabla ya kucomment?
How do I withdraw money to my local bank account?
Here’s how to withdraw money from your PayPal balance to your local bank account:
There’s no charge to withdraw money from your PayPal balance to your local bank account. Some banks may charge a fee for transfers. Contact your bank directly for more information.
- Log in to your PayPal account.
- Click Transfer to your bank or Withdraw Moneybelow your PayPal balance.
- Click Transfer money to your bank account.
- Enter the amount you want to withdraw.
- Select the bank account you want to credit, then click Continue.
Transfers requested before 7:00 PM ET on business days are typically deposited the next business day, depending on your bank. All withdrawals are subject to review and, in some cases, may be delayed or blocked if we identify a problem. Additionally, bank transfers will not be deposited on bank holidays.
You can also withdraw money from your PayPal balance by requesting a check. (There’s a fee of $1.50 USD for check withdrawals.)
Tanzania hakuna anauza kwa PayPal wote tunanunua na kibaya hujawai tumia huduma ndo shida ume copy vya darasani sio vinavyofanya kazi, ingia PayPal usome ndo utaelewa nini nasema ikiwa wa cut and pest huwezi nielewaWe bhana ingawaje una lugha za hovyo huku ukijifanya ni banker lakini wala HUJUI lolote! Kwanza kuonesha hujui lolote ni hapo unaposema eti pesa inakuwa PayPal sasa CRDB watarudishaje!
Mosi, Tanzanian PayPal Accounts hazi-receive cash; umeelewa?! Kwahiyo hakuna pesa itakayokuwa kwenye PayPal account. Unaponunua kitu online kwa kutumia PayPal, pesa itakuwa debited from customer account na itakuwa kwenye escrow account na sio customer's PayPal account!
PayPal wanachofanya ni kusubiri confirmation kwamba Buyer amepata mzigo ili wali-release fund to the Seller.
Inapotokea dispute kama vile Buyer kutopata mzigo, PayPal watafanya verification na wakijiridhisha kwamba mteja hakupata mzigo, ile pesa iliyokuwa escrow, PayPal watairudisha lakini haiingii moja kwa moja kwenye account ya mteja bali to one of the bank's accounts kama vile suspense account au akaunti nyingine yoyote maalumu kwa ajili ya hizo transactions lakini haiendi moja kwa moja kwa mteja!!!
The problem with hizi bank zetu ni kuchelewa kufanya reverse of entries. Pesa from PayPal ikifika kwenye bank accounts (NOT CUSTOMER ACCOUNT), huwa wanachelewa ku-reverse na inaweza kukaa hapo hadi siku watu wanafanya reconciliation ndipo wanakuta kuna entries zinazotakiwa kuwa credited to customers accounts.
Hapo juu unajigamba wewe ni banker na labda upo CRDB! To be honest, unawachoresha CRDB manake hata kuongea kama banker hujui!
Lakini mwisho tu nimtoe hofu rkgx kwamba, kuibiwa sio rahisi! Pesa inayoingia Suspense Account inaweza kuchezewa na staff mpumb'avu peke yake! Unaweza kuchelewa kuipata lakini utaipata tu siku wakifanya reconciliation kwa sababu hapo watakuwa wanatafuta ku-balance na kutafutia maelezo every single entry ambayo itabaki kwenye suspense account!!
Wapi nimesema Tanzania wanauza kwa PayPal? Hujui lolote wewe mbwiga!!! Hapa chini ni transaction ambayo imefanyika saa chache tu zilizopita... onesha ya kwako; kama huna piga kimya manake hujui lolote::Tanzania hakuna anauza kwa PayPal wote tunanunua na kibaya hujawai tumia huduma ndo shida ume copy vya darasani sio vinavyofanya kazi, ingia PayPal usome ndo utaelewa nini nasema ikiwa wa cut and pest huwezi nielewa
Matusi hayawezi kumsaidia mtoa mada, ungemwelekeza afanye nini au afuate utaratibu gani wote humu jamvini tungekuona wa maana Sana. Shida yake yeye apate hela yake na sio matusi yako.Njoo na evidence shida unadandia hoja kwa malengo flani sema lini ulifanya na ikawaje shida mnaleta siasa kwenye kila kitu
Salute mkuu. Haya ndo maelezo yaliyoenda shule siyo ya huyo mtoa mapovu na makidai mengi.. Asante sana kwa hii elimu.We bhana ingawaje una lugha za hovyo huku ukijifanya ni banker lakini wala HUJUI lolote! Kwanza kuonesha hujui lolote ni hapo unaposema eti pesa inakuwa PayPal sasa CRDB watarudishaje!
Mosi, Tanzanian PayPal Accounts hazi-receive cash; umeelewa?! Kwahiyo hakuna pesa itakayokuwa kwenye PayPal account. Unaponunua kitu online kwa kutumia PayPal, pesa itakuwa debited from customer account na itakuwa kwenye escrow account na sio customer's PayPal account!
PayPal wanachofanya ni kusubiri confirmation kwamba Buyer amepata mzigo ili wali-release fund to the Seller.
Inapotokea dispute kama vile Buyer kutopata mzigo, PayPal watafanya verification na wakijiridhisha kwamba mteja hakupata mzigo, ile pesa iliyokuwa escrow, PayPal watairudisha lakini haiingii moja kwa moja kwenye account ya mteja bali to one of the bank's accounts kama vile suspense account au akaunti nyingine yoyote maalumu kwa ajili ya hizo transactions lakini haiendi moja kwa moja kwa mteja!!!
The problem with hizi bank zetu ni kuchelewa kufanya reverse of entries. Pesa from PayPal ikifika kwenye bank accounts (NOT CUSTOMER ACCOUNT), huwa wanachelewa ku-reverse na inaweza kukaa hapo hadi siku watu wanafanya reconciliation ndipo wanakuta kuna entries zinazotakiwa kuwa credited to customers accounts.
Hapo juu unajigamba wewe ni banker na labda upo CRDB! To be honest, unawachoresha CRDB manake hata kuongea kama banker hujui!
Lakini mwisho tu nimtoe hofu rkgx kwamba, kuibiwa sio rahisi! Pesa inayoingia Suspense Account inaweza kuchezewa na staff mpumb'avu peke yake! Unaweza kuchelewa kuipata lakini utaipata tu siku wakifanya reconciliation kwa sababu hapo watakuwa wanatafuta ku-balance na kutafutia maelezo every single entry ambayo itabaki kwenye suspense account!!
Yaani nyie siwaelewi kama mnachiki na taasisis mseme sio kusema mambo ya uwongo humu yaani ujinga ujinga tu.Wapi nimesema Tanzania wanauza kwa PayPal? Hujui lolote wewe mbwiga!!!
Mkuu asante sana kwa maelezo ya kinaWe bhana ingawaje una lugha za hovyo huku ukijifanya ni banker lakini wala HUJUI lolote! Kwanza kuonesha hujui lolote ni hapo unaposema eti pesa inakuwa PayPal sasa CRDB watarudishaje!