Hii nchi inelogwa na watu wake wamelogwa. Na sio kama mateller wanajua. Andika kwenye sanduku la maoni ama walk to the manager's office! Chanhe ni wewe! Say no to substandard services.
Unaenda pale kwa ajili ya kuweka pesa, unakutana na booonge la foleni, unapokaribia kuchukua ticket ya namba , mlinzi anatoa namba zilizotangulia (105) mwanzo na pengine imeishaitwa, anakuambia buku tano (5000/=) hii hapa au la chukua hiyo (786), ukiangalia ile foleni na muda utaopoteza hapo.........KAZI NI KWAKO..
Kwani lazima kwenda hapo lumumba au azikiwe! Mbona kuna matawi hayanaga foleni kabisa nendeni pale quality plaza badala ya kujazana matawi ya mjini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwani lazima kwenda hapo lumumba au azikiwe! Mbona kuna matawi hayanaga foleni kabisa nendeni pale quality plaza badala ya kujazana matawi ya mjini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
WW Mourinho mlinzi wa hapo CRDB HQ tena nimekuona na ndio Style zako hizo, hahahahahaahahahahahahahaha kuwa MTANZANIA ni moja ya maajabu ya DUNIA..Ngoja nicheke nipate AFya