Jamani mwenzeni nimeenda crdb bank azikiwe Leo,kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili,nikauliza lini walitangaza hizo chance??
Akaniambia crdb hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi!
Sasa huyu Charles Kimei au ni Charles Kimeo????
Kwani wewe umealikwa kwenye usaili na kimei au kimeo? Anyway, financiial institutions nyingi zinazingua katika ajira
Soma vizuri post yangu
Nimeenda crdb makao makuu kumcheki jamaa yangu yuko pale
After ctor mbili tatu kaniambia kuna watu wanafanya usaili
Je nafasi walizitangaza lini??
Akasema CRDB hawatangazi kazi bali hupeana kimchongo zaidi
Hao ni wale waliokuwa interns, na nafasi za kazi walitangaziwa wao tu.Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.
Sasa huyu Charles Kimei au?
Hao ni wale waliokuwa interns, na nafasi za kazi walitangaziwa wao tu.
Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.
Sasa huyu Charles Kimei au?
CRDB huwa wanaprogram yao ya kuchukua interns kutoka UDSM kupitia UDEC kila mwaka, na huwa wanaajiri mwezi wa pili, sasa wakati wa kuajiri huwa wanawatangazia hahao interns...na ndio maana huwa hawazitangazi kwa public.Jitahidi umuone Kimei hakikisha umechukuwa cheti chako cha ubatizo hicho ndio muhimu ktk ajira za CRDB
Crdb= Chaga and rular development bank!!
Hao ni wale waliokuwa interns, na nafasi za kazi walitangaziwa wao tu.
CRDB huwa wanaprogram yao ya kuchukua interns kutoka UDSM kupitia UDEC kila mwaka, na huwa wanaajiri mwezi wa pili, sasa wakati wa kuajiri huwa wanawatangazia hahao interns...na ndio maana huwa hawazitangazi kwa public.
Urongo upo wapi mkuu?Na hao wanaopata intern pale ni akina nani?Acha ulongo