Hela ya vocha inategemea na providers mfano Tigo ni free of charge ku acces hizo ussd za banks ila Voda ni Lazima ulipie ku acces izo ussdHilo la kufungua account na ATM Card mbona hata NMB ndio hivyo hivyo baada ya wiki, inategemea na account unayofungua Kuna unazopewa hapo hapo na nyingine zinachukua muda
NMB mobile nao Ni mpaka uwe na hela ya vocha kwenye simu na wanaikata