Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,180
Mi naona NMB hawana shida kivilee
Muongo bana hem nitumie namba yako nikuambie kitu
Mi naona NMB hawana shida kivilee
Ila wabongo vichwa ugoro sana.
Malalamiko na kujilizaliza kama kunguru.
Hivi Nchi hii kuna Bank moja ?
Uteswe Na Monopoly CCM, Magufuli, TANESCO, ATCL, NSSF/PSSF, MWENDOKASI KIMARA halafu uteswe tena na pesa zako mwenyewe ?
Pumbavv Sana.
Mimi hata duka la mangi/muha/mpemba huwa silalamiki, nikifika dukani kama hueleweki naenda kwingine.
Mteja Siyo Mimi Peke Yangu, Na Huna Duka Peke Yako Hapa Mtaani.
Bank ndio kabisaa, nilianza na NMB wakaniletea uswahili nikahamia EQUITY, Naona wakileta upupu nahamia STANBIC.
Staki stress uchwara wakati nina mambo mengi productive ya kuumiza kichwa changu.
Na Ninyi ndio mnaosababisha hali hiyo ya wao kubweteka, kama wanawapa huduma mbovu na bado mpo tu mnalialia kama mazwazwa ndio ndio hawaoni sababu ya kuboresha.

Umejuwa leo? Rahisi ghaliHabari za asubuhi,
Moja kwa moja niende kwenye mada kuhoji uendeshaji wa hii bank maana huenda wahusika wameshaikatia tamaa maana malalamiko ya wateja yamekuwepo kwa muda mrefu lakini hakuna hatua zinazochukuliwa zaidi ya kuongeza huduma zisizo na msingi kila kukicha. baadhi ya kero zake ni kama zifuatazo.
1: Kuchukua muda mrefu kufungua account
Hivi kweli kwenye zama hizi za ushindani wa kibiashara na teknolojia kama Mpesa, TigoPesa, AirtelMoney e.t.c unawezaje kumwambia mteja nenda urudi baada ya siku saba?
2: SimBanking USSD menu
Hapa ndio balaa! yaani kwanza mpaka uweze kupata hii huduma utaambiwa nenda uje wiki ijayo! Kasheshe inaanzia pale unapotaka kupata huduma kwa njia ya simu kwa kubonyeza *150*03# unaambiwa muamala haujakamilika! Yaani Account ni yangu na pesa ni zangu lakini kupata taarifa zake mpaka niwe na salio kwenye simu! Upuuzi mkubwa! Sasa hiyo SimBanking ina maana gani? Mbaya zaidi miamala inayofanyika kwenye ATM hautumiwi taarifa zozote kwamba kuna kiasi fulani cha pesa kimetolewa! Je kama ni wizi unafanyika? Kwa kifupi SimBanking is a crap service.
3: Kupata kadi ya ATM
Hapa ni tatizo kubwa! Yaani utaambiwa nenda urudi wiki ijayo! Kweli kwenye karne hii ambapo ID zinakuwa printed papo hapo unamwambia mteja ondoka urudi siku fulani? Najua kuna issue za security lakini ndio mchukue wiki tatu kutengeneza kadi?
Kama ni security kwanini isitumike biometrics tu kama finger prints hata kwenye atm kurahisisha mambo na kuongeza usalama?
N:B CRDB msipojirekebisha mtapoteza wateja wengi sana
🤣🤣🤣🙌🙌Jamaa umenyooka Kama rula..sipatii picha Kama una mke! Nimecheka sana
Nataka kufanya fixed deposit kwao, vip interest yao inamatter?ABSA wapo poa kwa nyanja kibao. kwanza huduma zao online zipo powa, hawana makato hata unapotazama salio, card unapewa siku hiyo hiyo na kila kitu
Nmb? Mbona nimetoka kuuliza salio langu now ila sijakatwa na kwanza Sina salio kwenye simu?Na wanaikata kwelikweli! Yaani ukiweka 1000 ukiingia tu simbanking inaisha! Kuendelea inabidi uongeze salio! Kama ni makato ya kupata huduma kwanini wasikate moja kwa moja kwenye salio bank kama wafanyavyo mitandao ya simu?

Nmb mkononi ndio sulihisho. Unatumia data kuangalia salio na kufanya transactions.Hilo la kufungua account na ATM Card mbona hata NMB ndio hivyo hivyo baada ya wiki, inategemea na account unayofungua Kuna unazopewa hapo hapo na nyingine zinachukua muda
NMB mobile nao Ni mpaka uwe na hela ya vocha kwenye simu na wanaikata
Mi mwaka huu nilifika branch flan saa nane paka saa kumi nilikuwa nishapata kadi pamoja na sim banking.Mkuu kwanza pole maana wanakupotezea time yako. Labda nikuulize ni wapi huko unaambiwa kupata kadi ya Crdb baada ya wiki. Miaka kama miwili hivi nilifungua Account Crdb nilikamilisha kila kitu ndani ya kama saa 2 tu. Kuanzia kujaza fomu, kupiga picha, kupata bank card na hadi simbanking hapa Arusha.
Hiyo Branch ya Crdb wazembe sana huwezi subiri wiki moja kwa kitu simple kama hicho. Inabidi wabadilike.
Hilo la kufungua account na ATM Card mbona hata NMB ndio hivyo hivyo baada ya wiki, inategemea na account unayofungua Kuna unazopewa hapo hapo na nyingine zinachukua muda
NMB mobile nao Ni mpaka uwe na hela ya vocha kwenye simu na wanaikata
Acha upuuzi wewe, unasifia kila kitu wewe ni mwana CCM? Hao CRDB wana miezi kadhaa sasa wamekwama kutoa kadi kwa wateja. Usichangie vitu usivyovijua. Pumbavu.Mkuu kwanza pole maana wanakupotezea time yako. Labda nikuulize ni wapi huko unaambiwa kupata kadi ya Crdb baada ya wiki. Miaka kama miwili hivi nilifungua Account Crdb nilikamilisha kila kitu ndani ya kama saa 2 tu. Kuanzia kujaza fomu, kupiga picha, kupata bank card na hadi simbanking hapa Arusha.
Hiyo Branch ya Crdb wazembe sana huwezi subiri wiki moja kwa kitu simple kama hicho. Inabidi wabadilike.
Sio kweli, sema Kadi yako ipo tawi gani na hujapata Kadi?! Mimi nliomba Kadi dar wiki moja hv nkaomba Kadi yangu itumwe mbeya na ikatumwa.Acha upuuzi wewe, unasifia kila kitu wewe ni mwana CCM? Hao CRDB wana miezi kadhaa sasa wamekwama kutoa kadi kwa wateja. Usichangie vitu usivyovijua. Pumbavu.
Shida kubwa iko CRDB tawi la kibaha.Ikitokea kadi ikamezwa kwenya A TM Kama ni jumamosi utaipata Jumatano.Wahudumu hawako kikazi ,komputer anadonoa keybody,mara anatoka anaenda kutafuta kitabu mara meza hili mara meza ile.Yaan kero tupu.CRDB Kibaha ndo pa hovyo zaidi.Habari za asubuhi,
Moja kwa moja niende kwenye mada kuhoji uendeshaji wa hii bank maana huenda wahusika wameshaikatia tamaa maana malalamiko ya wateja yamekuwepo kwa muda mrefu lakini hakuna hatua zinazochukuliwa zaidi ya kuongeza huduma zisizo na msingi kila kukicha. baadhi ya kero zake ni kama zifuatazo.
1: Kuchukua muda mrefu kufungua account
Hivi kweli kwenye zama hizi za ushindani wa kibiashara na teknolojia kama Mpesa, TigoPesa, AirtelMoney e.t.c unawezaje kumwambia mteja nenda urudi baada ya siku saba?
2: SimBanking USSD menu
Hapa ndio balaa! yaani kwanza mpaka uweze kupata hii huduma utaambiwa nenda uje wiki ijayo! Kasheshe inaanzia pale unapotaka kupata huduma kwa njia ya simu kwa kubonyeza *150*03# unaambiwa muamala haujakamilika! Yaani Account ni yangu na pesa ni zangu lakini kupata taarifa zake mpaka niwe na salio kwenye simu! Upuuzi mkubwa! Sasa hiyo SimBanking ina maana gani? Mbaya zaidi miamala inayofanyika kwenye ATM hautumiwi taarifa zozote kwamba kuna kiasi fulani cha pesa kimetolewa! Je kama ni wizi unafanyika? Kwa kifupi SimBanking is a crap service.
3: Kupata kadi ya ATM
Hapa ni tatizo kubwa! Yaani utaambiwa nenda urudi wiki ijayo! Kweli kwenye karne hii ambapo ID zinakuwa printed papo hapo unamwambia mteja ondoka urudi siku fulani? Najua kuna issue za security lakini ndio mchukue wiki tatu kutengeneza kadi?
Kama ni security kwanini isitumike biometrics tu kama finger prints hata kwenye atm kurahisisha mambo na kuongeza usalama?
N:B CRDB msipojirekebisha mtapoteza wateja wengi sana
We Mpuuzi, wewe ni mteja pekee wa CRDB nchi nzima?Sio kweli, sema Kadi yako ipo tawi gani na hujapata Kadi?! Mimi nliomba Kadi dar wiki moja hv nkaomba Kadi yangu itumwe mbeya na ikatumwa.
Watu wa aina hii wakiwa nyumbani unakuta kila siku wanavutwa tu masikio na hao wake zao!
Ila wakiwa humu jukwaani ni kutunanga tu Watanzania hatuna akili, sijui sisi Watanzania ni mazwazwa! as if yeye si Mtanzania au hakumbani na changamoto zozote kwenye maisha yake ya kila siku.
Mkuu Relax.Watu wa aina hii wakiwa nyumbani unakuta kila siku wanavutwa tu masikio na hao wake zao!
Ila wakiwa humu jukwaani ni kutunanga tu Watanzania hatuna akili, sijui sisi Watanzania ni mazwazwa! as if yeye si Mtanzania au hakumbani na changamoto zozote kwenye maisha yake ya kila siku.
Unaweza wacheki wakakupa maelekezo mazuri zaidi. Ila ni moja ya bank ambayo inakupa mteja kupumuaNataka kufanya fixed deposit kwao, vip interest yao inamatter?
DTB ni washamba sana .. ukienda kubadili fedha za kigeni kama unaomba kazi au unawaomba.. yani maswali kibao .. hovyo sana hii bank nayoHamia huku DTB tuko vizuri