Crdb bank update - july 2014,

Crdb bank update - july 2014,

kwimba1

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15
Reaction score
2
Ndugu zangu ni kawaida imezoeleka kwa CRDB kuajiri nafasi za bank officer katikati ya mwaka yaani mwezi july, na hii inakuwa katika zonal office, mfano last year nikiwa 2nd year.

Nimejaribu kufuatilia kama mwaka huu wameshaajili lakini sijapata information za kutosha,mwenye kujua anifahamishe kwani ni benki ninayopenda kufanya kazi na inalipa mshahara mkubwa,

regards,2014 graduate,
 
Kamaliza juzi tu,hata experience hana,anataka kufanya kazi yenye mshahara mkubwa,Ngoja ukae mtaani uone Kama autatafuta hata kazi isiyo na malipo.
 
Application nilishafanya online,na GPA yangu ni kubwa hivyo najipa moyo nifahamu kama hawajaajili,ili niendelee kuvuta subira
 
Application nilishafanya online,na GPA yangu ni kubwa hivyo najipa moyo nifahamu kama hawajaajili,ili niendelee kuvuta subira

Mkuu wameshaajiri post za bank officer na microfinance ndo wamemaliza training majuzi. Next time peleka application zako hardcopy pale azikiwe HQ za CRDB.
 
Mkuu wameshaajiri post za bank officer na microfinance ndo wamemaliza training majuzi. Next time peleka application zako hardcopy pale azikiwe HQ za CRDB.
Ok,nashukuru kwa taarifa,niendelee kuapply sehem mbalimbali
 
nachojua now wamechukua intern kwanza mpk mwezi wa nane wanaajiri nafanya kazi hpo
 
kwanza wameshaajili tayari, na watu wamesharipoti vituoni tayari, kwa hiyo vuta pumzi, pili, kazi za siku hizi hawaangalii GPA ndugu ni uwezo wako, na pia ulichokisoma na utakachokikuta kwenye kazi haviendani. ukibaki na mtazamo wako ukila msoto kidogo tu waweza fanya maamuzi mabaya, badilika.
 
kwanza wameshaajili tayari, na watu wamesharipoti vituoni tayari, kwa hiyo vuta pumzi, pili, kazi za siku hizi hawaangalii gpa ndugu ni uwezo wako, na pia ulichokisoma na utakachokikuta kwenye kazi haviendani. Ukibaki na mtazamo wako ukila msoto kidogo tu waweza fanya maamuzi mabaya, badilika.
uko sawa kabisa
 
gpa ni academic performance, lakini interview tunaangalia uelewa wako wa mambo na kazini tunaangalia delivery , gpa shuleni kwako kazini vitendo.
 
Zitto Kabwe aweza kufanyia connection kwa Kimei,tafuta kadi ya ACT then ucheki naye,utakula shavu CRDB
 
Gpa kubwa kawe lecture mtaaani,ni kupambana tu huku kaka hamna cha gpa wala nn
 
Hi..., we got your name from MUCCBS provided by L.N.Ngailo, please forward to me your application letter bank officer position, cv, copies of certificates - university cert, univ transcript, form six and form four cert as well as other copies of certificates, my email address; Petro.Kashindye@crdbbank.com, deadline 22/06/2014. If you are in dar you may bring it by hand azikiwe posta crdb bank hq hr department.

Tulitumiwa hiyo msg hapo juu, tunasuburi majibu wiki 2 baada ya dedline
 
well said! CRDB huwa wanachukua kutoka chuoni directly! Ukisema nkutuma barua utachoka japo pia sijakukatisha tamaa. Pia wanachukuaga kuanzia upper second
 
well said! CRDB huwa wanachukua kutoka chuoni directly! Ukisema nkutuma barua utachoka japo pia sijakukatisha tamaa. Pia wanachukuaga kuanzia upper second

Kweli wanachukua GPA Upper Second,,ila safari hii wamechukua kuanzia 3.6 mpaka 4.0 kamili,,,waliokuwa na GPA zaidi ya 4 hawakuchukuliwa na chini ya 3.6 pia.
 
Kweli wanachukua GPA Upper Second,,ila safari hii wamechukua kuanzia 3.6 mpaka 4.0 kamili,,,waliokuwa na GPA zaidi ya 4 hawakuchukuliwa na chini ya 3.6 pia.

Duh wenye gpa za 2 tuanze tu biashara ndogo ndogo
 
Hi..., we got your name from MUCCBS provided by L.N.Ngailo, please forward to me your application letter bank officer position, cv, copies of certificates - university cert, univ transcript, form six and form four cert as well as other copies of certifi
cates, my email address; Petro.Kashindye@crdbbank.com, deadline 22/06/2014. If you are in dar you may bring it by hand azikiwe posta crdb bank hq hr department.

Tulitumiwa hiyo msg hapo juu, tunasuburi majibu wiki 2 baada ya dedline

Na kwa walioko mikoani application zote mpaka ziende azikiwe,sababu nafahamu zonal office nao hua wanaajili,

manake mi niko kijijini kwa wazee nakusanya nguvu ya kukaa mjini nikiendelea kuapply'
 
Back
Top Bottom