CRDB BANK si Bank ya kuiamini kabisa!

Ni kweli CRDB inaelekea kubaya sana. Ila usije ukashangaa ukaenda leo aliyejikopesha akawa kazirudisha ukakuta hela yako ipo. Watakwambia tu kulikuwa na tatizo la kiufundi wamesharekebisha
 
Unawezaje kupoteza muda mwingiiiiiiiiiiiiiiiiiikutandaza ishu ambayo mimi kwa kuwa mteja mkongwe wa CRDB Bank nashiwishika kukuona una ajenda uchwara...Nakushauri next time, kabla hujazuka uone uongozi wa benki khs kero yako
 
huenda CRDB kukawanamatatizo kama yalivyo kwenye benk zingine cha muhimu ni kuripoti tatizo lako kwa uongozi wa tawi husika lakini sio kutoa lawama za jumla pia tukumbuke nchi yetu kwa sasa hatuna uzalendo ndio maana wajanja wa nje wameligundua hilo hivyo wanawatumia watanzania wenzetu kuponda kila kitu cha Tanzania nakujitia wanasifia hayo mashirika ya wawekezaji JAMANI TUJIHADHARI NA HUZI FITINA ZA UGENISHAJI??????????"""""""""""""""""""""""" mimi nimekuwa mteja CRDB pale tulipohanishiwa kutokea THB(benk ya nyumba) mpaka sasa sijapata tatizo lolote kwenye a/c yangu na huwa nafuatilia kila kinachofanyika kwenye a/c zangu tutaijenga TANZANI sisi wenyewe
 
Nawashangaa sana watanzania wenzangu mnavyoiponda CRDB Bank wakati hii ni benki yetu watanzania, mnataka Tanzania iendelee wakati mnashabikia benki za kigeni badala ya kushabikia benki zetu za ndani. Huu sio uzalendo kabisa na ni ujinga mkubwa sana, watanzania amkeni acheni ushabiki usiokua na maana, hamjui kama hizi benki za kizungu ni kwa manufaa ya wazungu?mnafikiri wanakuja ku-invest huku kwa manufaa ya watanzania? TUACHE USHABIKI WA KIJINGA TUFANYE KAZI NA KUSHABIKIA VITU VYENYE MANUFAA KWA TAIFA LETU.[/QUOT

kwahiyo kama ni benki yetu watanzania ikiniibia nikae kimya tu!!?pamoja na mazuri mengi ya hii benki,kkwenye hili eneo wana matatizo sana tu.kesi kama hizi ni nyingi tu karibu kila wiki mi nazipata!....wakati hizi noti mpya zinatoka uncle wangu ali-withdraw laki nane toka atm ya crdb lakini zote zikawa feki!!ma-teller wao baadhi ni wezi na wadokozi.hujikopesha hizo pesa toka akaunti ambazo wameshasoma behaviour zake na baada ya muda huzirudisha au wanapotezea tu.kama we ni mfanyakazi au una interest nayo chukua hizi kama changamoto lakini usibishe kwamba haya hayatokei bana,mimi pia ni mwathirika wa tabia kama hizi na nilishatoa mpunga wangu kule,naacha kidogo tu wkaajii ya tumbo!
 
washenzi sana hawa watu...ni wezi sana hata upeleke taarifa kwa wakubwa zao hautakaa upate fedha yako ng`oo....washenzi sana hawa laki 4 zangu mpaka leo sijazipata.
 
Wee unaonekana hata akauti huna wewe.Pombe si pombe, Bangi si bangi, ili mradi tafrani tu. Watu wanazungumza mambo yenye tija na kueleweshana we unakurupuka na mitusi kama hayawani bwana. Eleza hapa laki nne zipi?zimeibiwaje? lini? ili baraza lipate kukusaidia au kujifunza toka kwako.Sio kukurupuka tu kama hamnazo.Alaaa
 
huenda CRDB kukawanamatatizo kama yalivyo kwenye benk zingine cha muhimu ni kuripoti tatizo lako kwa uongozi wa tawi husika lakini sio kutoa lawama za jumla pia tukumbuke nchi yetu kwa sasa hatuna uzalendo ndio maana wajanja wa nje wameligundua hilo hivyo wanawatumia watanzania wenzetu kuponda kila kitu cha Tanzania nakujitia wanasifia hayo mashirika ya wawekezaji JAMANI TUJIHADHARI NA HUZI FITINA ZA UGENISHAJI??????????"""""""""""""""""""""""" mimi nimekuwa mteja CRDB pale tulipohanishiwa kutokea THB(benk ya nyumba) mpaka sasa sijapata tatizo lolote kwenye a/c yangu na huwa nafuatilia kila kinachofanyika kwenye a/c zangu tutaijenga TANZANI sisi wenyewe
Mkuu unavyo andika kwa confidence ni kwa sababu hajakutokea na issue hapa si uzalendo ni huduma bora na ya uhakika inayotolea na sehemu husika,So kwa sababu CRDB ni benk ya kizalendo hata wakifanya makosa unatulia tu??
 
CRDB Bmna bank ni Benk inayotusaidia kwa nanmna nyingi ina misingi ya uzawa kuinua maisha ya watanzania na uchumi wa tanzania kwa ujumla ni Benk iliyosikiliza mteja kwa hiyo siyo vizuri kunyeea kambi. Acha uzushi tujenge nchi yetu. tusivuruge miundombinu ya kujenga nchi yetu

Mkuu, mbona unambishia kwa yaliyomkuta?
 
huenda CRDB kukawanamatatizo kama yalivyo kwenye benk zingine cha muhimu ni kuripoti tatizo lako kwa uongozi wa tawi husika lakini sio kutoa lawama za jumla pia tukumbuke nchi yetu kwa sasa hatuna uzalendo ndio maana wajanja wa nje wameligundua hilo hivyo wanawatumia watanzania wenzetu kuponda kila kitu cha Tanzania nakujitia wanasifia hayo mashirika ya wawekezaji JAMANI TUJIHADHARI NA HUZI FITINA ZA UGENISHAJI??????????"""""""""""""""""""""""" mimi nimekuwa mteja CRDB pale tulipohanishiwa kutokea THB(benk ya nyumba) mpaka sasa sijapata tatizo lolote kwenye a/c yangu na huwa nafuatilia kila kinachofanyika kwenye a/c zangu tutaijenga TANZANI sisi wenyewe
Na wasiwasi na wewe sana kama si muhusika wa haya matukio.
Relax utoe maoni yaeleweke ndugu yangu sio blah blah.
 
Nawashangaa sana watanzania wenzangu mnavyoiponda CRDB Bank wakati hii ni benki yetu watanzania, mnataka Tanzania iendelee wakati mnashabikia benki za kigeni badala ya kushabikia benki zetu za ndani. Huu sio uzalendo kabisa na ni ujinga mkubwa sana, watanzania amkeni acheni ushabiki usiokua na maana, hamjui kama hizi benki za kizungu ni kwa manufaa ya wazungu?mnafikiri wanakuja ku-invest huku kwa manufaa ya watanzania? TUACHE USHABIKI WA KIJINGA TUFANYE KAZI NA KUSHABIKIA VITU VYENYE MANUFAA KWA TAIFA LETU.
sijui kama unajua unachokisema wewe, unauhakika gani kama hii ni bank ya watanzania? hao watanzania wanamiliki asilimia ngapi ya hisa? fatilia utajua nani mmiliki wa hii bank na siyo mtanzania kama ulivyokeremishwa.... au uliza hivi ni ninani anamiliki 50% ya hisa za crdb?achana na hizo 10% tulizoachiwa sisi watanzania!
 
Unawezaje kupoteza muda mwingiiiiiiiiiiiiiiiiiikutandaza ishu ambayo mimi kwa kuwa mteja mkongwe wa CRDB Bank nashiwishika kukuona una ajenda uchwara...Nakushauri next time, kabla hujazuka uone uongozi wa benki khs kero yako
Na hiyo ndio itakuwa next step yangu.
 
Ni kweli CRDB inaelekea kubaya sana. Ila usije ukashangaa ukaenda leo aliyejikopesha akawa kazirudisha ukakuta hela yako ipo. Watakwambia tu kulikuwa na tatizo la kiufundi wamesharekebisha
Nitashukuru ikiwa hivi
 
CRDB Bmna bank ni Benk inayotusaidia kwa nanmna nyingi ina misingi ya uzawa kuinua maisha ya watanzania na uchumi wa tanzania kwa ujumla ni Benk iliyosikiliza mteja kwa hiyo siyo vizuri kunyeea kambi. Acha uzushi tujenge nchi yetu. tusivuruge miundombinu ya kujenga nchi yetu
Angalia sana maana inaonekana mapenzi yako juu CRDB yanapitiliza sasa na yatakufikisha pabaya(too much..... is harmful).
Tafakari.
 
Nawashangaa sana watanzania wenzangu mnavyoiponda CRDB Bank wakati hii ni benki yetu watanzania, mnataka Tanzania iendelee wakati mnashabikia benki za kigeni badala ya kushabikia benki zetu za ndani. Huu sio uzalendo kabisa na ni ujinga mkubwa sana, watanzania amkeni acheni ushabiki usiokua na maana, hamjui kama hizi benki za kizungu ni kwa manufaa ya wazungu?mnafikiri wanakuja ku-invest huku kwa manufaa ya watanzania? TUACHE USHABIKI WA KIJINGA TUFANYE KAZI NA KUSHABIKIA VITU VYENYE MANUFAA KWA TAIFA LETU.
Usipende kukariri kila kitu kaka.
 
Hoja yako haina mashiko.Inatoa picha ya jinsi ulivyo mpumbavu. Mimi nimteja wa benki ya CRDB kwa muda mrefu sasa. Na mara zote ninapokuwa nimetatizwa na issue ya kihuduma, ninapata ushiriakiano mzuri, maelekezo na ushauri kutoka kwa timu mahiri ya CRDB Bank. Siyo VIZURI, kuibuka na kubwabwajaaaaaaaaa kama kasuku, kwa ishu ambayo inaweza kusovika kiungwana kabisa. Usituambukizi uchuro wako sisi wateja wa benki yetu CRDB. Kamata hiko kipande, utulie
Mkuu bora unyamaze jinsi nilivyo na hasira naweza tokea kwenye hiyo keyboard yako sasa hivi.
 
Pole sana jamani, maisha yenyewe ni balaa tupu, mtu unajitafutia ili angalau kesho usilale na njaa kumbe wengine wanasema afadhali umeleta, watashughulikiwa na Mungu ipo siku za mwizi arobaini.

Risiti ya kuweka hela ndiyo itakusaidia, lakini hiyo issue wewe nenda moja kwa moja kwa manager, wala usihangaike na hao mateller wengi ni wezi sana, wanatuvuna tuu yaani imeniuma saana na Mungu atakusaidia haki yako lazima utaipata na lazima mtu awajibishwe hapo.

Utupe taarifa yatakayojiri huko
Thanx Aine kuweka risiti kweli nimegundua ni jambo bora sana kuanzia sasa nitaacha kudamp ile statement ya atm kwenye zile bin ndani atm room.
Na kitu chochote kina mwanzo labda ndo mwanzo wa ubovu wa CRDB......who knows?
 
Pole sana mdau!Mimi so far sijapata tatizo lolote toka CRDB hata hivyo ni mapema sana maana nina mwaka mmoja tu tangu niwe mteja wao!Lakini kwa ushahidi ulioutoa wewe na wadau wengine nimeanza pata wasiwasi!Sasa sijui nihamie Bank gani aisee maana NBC nimeshawahi ahirisha safari zaidi ya mara tatu pale ubungo kwasababu ATM zao mara kwa mara hazifanyikazi!Duh Bongo kila sekta kwishney sijui na hili tumlaumu baba mwanaasha?
 
Back
Top Bottom