When was that?Naipenda CRDB,isipokuwa kuna siku nilifanya malipo kwa njia hii sijui mnaita TT,nilijuta masaa arobaini pesa haijahama,mhindi kagoma kunipa mzigo,nawafuata pale Lumumba, wananiambia na wao hawaelewi,duuh! Hapo natakiwa niwahi kurudi mkoa,Ratiba yangu yote ilivurugika,kwa hasira nika cancel transaction, nikachukulia ndani, nikasema potelea mbali wazee wa boxer wakinipa chai, 'usijaribu kufanya malipo kutoka crdb kwenda banks zingine kama una haraka.
Huo ni utaratibu wala sikufichi.Kuna a minor daily ATM System maintenance muda huo which lasts for only 20mins,so that is to say,try to use your 24 hours effectively while keeping that in mind.So far,wit your TEMBOCARD(VISA/MASTERCARD) still you can be serviced on other ATM Clients za benki nyingineHao kawaida yao,
Kila ikifika saa 12:30 jioni ,lazima network ikate.
Hiyo ina daily routine
we jamaa msemaji wa bank nn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo ni utaratibu wala sikufichi.Kuna a minor daily ATM System maintenance muda huo which lasts for only 20mins,so that is to say,try to use your 24 hours effectively while keeping that in mind.So far,wit your TEMBOCARD(VISA/MASTERCARD) still you can be serviced on other ATM Clients za benki nyingine
Hapana,kueleweshana tuwe jamaa msemaji wa bank nn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa mwezi wa tano Mkuu,huenda pale Lumumba hawakuwa vizuri, ila ilinisababishia usumbufu sana.When was that?
Its probably before Feb this year..Na unaposema usifanye TT na CRDB kama una haraka unakosea..Mara nyingine inawezekana Branch husika walichemka wao and that is nothing we can conclude as CRDBs(in whole)problem..
Probably u havent heared about the new TACH system..stay updated!
Pole sana mkuu,delays za hivo zinaweza tokana na personal errors either za mteja au staff aliekuhudumia.Ilikuwa mwezi wa tano Mkuu,huenda pale Lumumba hawakuwa vizuri, ila ilinisababishia usumbufu sana.
Poa Mkuu, ila sihami bankPole sana mkuu,delays za hivo zinaweza tokana na personal errors either za mteja au staff aliekuhudumia.
Maana hizi TT zina cut-off time,kama ulienda muda mbovu inakuwa ngumu na as usual wikend pia TT hazipiti..
Hata kama unafanya kazi katika hii benki mnatakiwa kukubali of recent mmekuwa wachovu,, nimeona hapo juu umekiri labda upgrades mlizofanya hivi karibuni za system zinaweza zakachangia kwa network yenu kuwa mbaya. Nakubaliana na wewe ila sijaona sehemu yoyote afsa uhusiano au wahusika wakuu wakitujulisha sisi wateja. Ndio maana tunalalamika na tuna hiyo haki ya kudai maelezo hata ikiwezekana kuhama kabisaTell us on the other hand which bank has been perfoming this consistently and perfectly?
Statement ya mwezi wa Jan,Feb,April zote nnazo..
Cry cry babies
Bhac sawa,ila huko benki nyingine ukitumia atm card ya crdb hawakati bali wanafanya kufyeka,Huo ni utaratibu wala sikufichi.Kuna a minor daily ATM System maintenance muda huo which lasts for only 20mins,so that is to say,try to use your 24 hours effectively while keeping that in mind.So far,wit your TEMBOCARD(VISA/MASTERCARD) still you can be serviced on other ATM Clients za benki nyingine
Hawanaga service charges ya namna hiyo, iyo 10000 yako labda uliiangusha.Bhac sawa,ila huko benki nyingine ukitumia atm card ya crdb hawakati bali wanafanya kufyeka,
Nilitumia siku moaja,tsh.10000 chapchap ikApotea kizani
Bhac fanya hv,chukua tembocard yako ya crdb halafu nenda atm ya NBC ,ukitoka hapo uje ulete majibu.Hawanaga service charges ya namna hiyo, iyo 10000 yako labda uliiangusha.
Hao walinipotezea kadi yangu ya bank pale water front kila nikifuatia mara kadi ilitoka kwenye mashine itakuwa imechukuliwa na mtu mara omba kadi mpya nilipoomba kadi mpya ndio narudishiwa ya zamani.Sitasahau walichonifanyia hao crdb kwenye tu-hela twangu twa mboga... Nimeshahama kwa sasa niko na mafukara wenzangu NMB
Siku zote kama huduma ikipotea tupate maelezo, waige Tanesco...Lakini ikizidi inabidi tujiulize
Bhac fanya hv,chukua tembocard yako ya crdb halafu nenda atm ya NBC ,ukitoka hapo uje ulete majibu.
Charles Kimei. GD~~~MchagaKimei amejaza ndugu zake wachagga unategemea nini kazi yao ni wizi tu na ss ivi wanafungua matawi wanayaita microfinance muda si mrefu watayafunga tu
Sijakuelewa unachomaanisha.Garbage In Garbage Out..If you can't feed your bank account with some moolah,who do expect to do it for u?Unapohitaji sim banking halafu unaambiwa hauna salio na wewe unajua kabisa kuna vijisent vyako hapo ndiyo huwa natosha kabisa