CRDB Bank -Lumumba ni 'Maua' na Maua!

CRDB Bank -Lumumba ni 'Maua' na Maua!

View attachment 143838 View attachment 143839 View attachment 143840 View attachment 143841 View attachment 143842 View attachment 143843 View attachment 143844 View attachment 143845 View attachment 143846 Wanabodi,
Mnaweza kuona jinsi CRDB Tawi la Lumumba lilivyo na "Maua" na bado likapambwa maua!, hivyo huku sio ni kupendeza juu ya kupendeza?!.

Kiukweli ni just imagine, ni raha iliyoje kuhudumiwa "huduma" za kibenki mahali panapopendezea kihivi?!.

Week-end njema

Paskali
Leo siku ya wanawake duniani, nawapa hongera wanawake wote duniani kwa kuzaliwa wanawake, maana hakuna maisha kwa maana ya life bila mwanamke, ila life bila mwanaume, inawezekana, but there is no life without a female!. Big up sana kwa wanawake wote !.
P.
 
Back
Top Bottom