Crdb badilisheni core banking system yenu ni kimeo


Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
2,283
Likes
1,060
Points
280
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
2,283 1,060 280
Nipo hapa crdb lumumba zaidi ya masaa mawili system inakuwa online ofline.last week pia nilikumbana na kimeo kama hiki,na ata mwezi uliopita.system down ni wimbo uliozoeleka hapa crdb.please jirekebisheni tumeshoka sisi wateja
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,736
Likes
781
Points
280
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,736 781 280
I was thinking that someone takeover the control... :car:


Respect to hackers :nod:
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,439
Likes
9,355
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,439 9,355 280
kaka ungeenda customer care, ungeripoti kwenye website yao au hata kumwandikia barua mhusika ingekua vizuri. sidhani kama kuna mtu wa crdb atakuja kuchukua malalamiko yako hapa
 
daviey69

daviey69

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
2,246
Likes
33
Points
145
daviey69

daviey69

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
2,246 33 145
Nipo hapa crdb lumumba zaidi ya masaa mawili system inakuwa online ofline.last week pia nilikumbana na kimeo kama hiki,na ata mwezi uliopita.system down ni wimbo uliozoeleka hapa crdb.please jirekebisheni tumeshoka sisi wateja
si ujitoe ama umekopa kwao?
 
Kiwa

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
2,112
Likes
207
Points
160
Kiwa

Kiwa

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
2,112 207 160
hii sio portal ya kureport customer queries. onana na customer service manager.
 

Forum statistics

Threads 1,252,056
Members 481,989
Posts 29,794,218