CRDB ATMs

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,049
540
Asubuhi hii nimepitia atm ya crdb pale shoprite kamata, haina pesa. Imebidi nikachukue pesa kwenye atm ya nbc. Hivi hawa watu wa crdb wako serious kweli?
Sehemu ya supermarket ambapo watu wengi wanaenda shopping kwenye mwisho wa wiki nafikiri ni mahali pa kuangalia pesa isikauke.
 
kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,269
711
Ni kawaida sana kwa ATM zote za CRDB kusimamisha huduma kila siku saa 4 Asubuhi na saa12 jioni kwa ajili ya kuweka mambo yao sawa. Kila benki ina utaratibu wake labda ni ww tu umekuwa mgeni wa ATM
 
mnyakyusa

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
248
38
Hiyo ni kawaida yao yaani wanaboa sana hawa jamaa..Ukiangalia matangazo yao huwezi kulinganisha na jinsi utendaji wao wa kazi bora wangeandika probably 24hrs ATM service
 
Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,049
540
Ni kawaida sana kwa ATM zote za CRDB kusimamisha huduma kila siku saa 4 Asubuhi na saa12 jioni kwa ajili ya kuweka mambo yao sawa. Kila benki ina utaratibu wake labda ni ww tu umekuwa mgeni wa ATM

haikua saa nne. Nimetoka kanisani saa mbili na nusu nikaenda pale, labda saa tatu na robo ivi.
Mi si mgeni wa atm ndugu yangu, tangu enzi ya tembo nipo.

Acha kuwatetea, au ndo mojawapo?
 
Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,712
1,245
Yanasumbua sana ma ATM yote, hiyo ya kukosa hela ni uzembe wao lakini benki zote matatizo matupu.
 
Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Asubuhi hii nimepitia atm ya crdb pale shoprite kamata, haina pesa. Imebidi nikachukue pesa kwenye atm ya nbc. Hivi hawa watu wa crdb wako serious kweli?
Sehemu ya supermarket ambapo watu wengi wanaenda shopping kwenye mwisho wa wiki nafikiri ni mahali pa kuangalia pesa isikauke.

Benki inayomsikiliza MTEJA!
 
M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Hamieni NBC saiv mambo yao safi! Bado kidogo master card zao zitakuwepo sokoni, kwa ssa tunazo watu wachache tu kwa ajili ya kufanya testing. So far so good, ukiwa dubai, jhb wachukua pesa ATM yeyote.
 
Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
307
Hapa Buguruni Petrol Station ndo wameweka liATM lao kama pambo tu siku kibaaaao haifanyi kazi. CRDB njooni mtoe hili ATM lenu linatuzingua hapa!
 
Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
307
Hamieni NBC saiv mambo yao safi! Bado kidogo master card zao zitakuwepo sokoni, kwa ssa tunazo watu wachache tu kwa ajili ya kufanya testing. So far so good, ukiwa dubai, jhb wachukua pesa ATM yeyote.

Hii ndo sitaki kuisikia, nimeihama NBC na kuja CRDB kwa sababu ya urasimu wao. Mshahara unapelekwa tarehe 25 unakuja kuupata tarehe 3. Ukicheki balance unaiona lakini huwezi kuitoa kisa haijawa approved, shenz$ zenu!

Huku CRDB mshahara unaingia ontime hawalembi, nakamua na TemboCard Mastercard.
 
Little Angel

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,212
372
Hamieni NBC saiv mambo yao safi! Bado kidogo master card zao zitakuwepo sokoni, kwa ssa tunazo watu wachache tu kwa ajili ya kufanya testing. So far so good, ukiwa dubai, jhb wachukua pesa ATM yeyote.

NBC nao hawana unafuu wowote! wote hawapo makini.
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
5,205
7,846
Shuka hata Airpot utakuta ATM YA CRDB HAMNA FEDHA WHILE ATM NBC INAPESA. Alafu sio mara ya kwanza hapa jamiiforum mdau kulalamikia atm za crdb. Lazima lipo tatizo crdb they must act on it.
 
M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Mkuu nakubaliana na wewe, saiv NBC wamerekebisha matatizo ya awali baada ya ku-upgrade the core banking system, kwa sasa wanatumia system ambayo ni very efficient iitwayo BEMS( Barclays Emerging Market System) ambayo nadhani imeongeza advanced features kwenye Flexicube system ya awali. Hivyo wadau tegemeeni products nyingi zitakazokuwa zinatolewa timely bila longolongo kama CRDB na NMB.

Shuka hata Airpot utakuta ATM YA CRDB HAMNA FEDHA WHILE ATM NBC INAPESA. Alafu sio mara ya kwanza hapa jamiiforum mdau kulalamikia atm za crdb. Lazima lipo tatizo crdb they must act on it.
 
kipakaMwitu

Senior Member
Feb 19, 2009
158
19
Mkuu nakubaliana na wewe, saiv NBC wamerekebisha matatizo ya awali baada ya ku-upgrade the core banking system, kwa sasa wanatumia system ambayo ni very efficient iitwayo BEMS( Barclays Emerging Market System) ambayo nadhani imeongeza advanced features kwenye Flexicube system ya awali. Hivyo wadau tegemeeni products nyingi zitakazokuwa zinatolewa timely bila longolongo kama CRDB na NMB.

yangu macho!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom