Crazy things you did in secondary school

~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught; thank God I was not part of the two.

~ You used my camera to take photos of your sleeping friends, especially when they were drooling and posted it on the announcement boards.

~ Used to sneak out of school all the time as a day student and buy foodstuff that were all contraband.

~Would go to the dining hall before the lunch bell goes.

~ Used to write lyrics of the artists of your preference. (remember 2Pac, Bob Marley?)

~ Ulizoea kujiandikia barua ili uonekane wewe ni mpokeaji mzuri wa barua.

~ Ukitumiwa EMS au TMO basi wewe unaonekana baab kubwa!

~ Kuchomekea shati ilikuwa kero kwako, ulifanya hivyo wakati wa kukaguliwa Jumatatu baadaye 'unapiga chini'.

~ Kufua soksi ilikuwa kero sana kwako, ulikuwa unazivaa mara 5 kwa wiki kisha unazifua Jumamosi (ukiwa na pair moja).

Hizi ni baadhi, tena nyingi ni kwa upande wa wanaume. Ladies, tell us what you used to do (crazy ones pls).
Niliwakimbizaga sana advance pale hge pandahill sikuwahi toka wa kwanza na hata tabia zangu nikiwa darasani ni tofauti kabisa na bwenini dorm mimi ni bonge la businessman kuuza chakula tu na vitu nje jiwe la kutosha sana nilikusanya ebhanae si ma snitch wakanichoma kwa bochu asee ndo nikagundulikaga huyu jamaa ni nyokaa 😂😂😂 walinipiga sana watu wangu wa pandahill wanaelewa show zao na mpka zile zawadi za kuwa wa kwanza walininyimaga 😂😂😂 asee ila nashukuru Mungu hawakunifukuza maana wangetoa kijiti 😃😃😃
 
Tulitoroka kwenda kwenye Bai Koko kule Mwakizalo usiku tukiwa tumetoka Galanosi. Hahaa, ni mbali sana usiku wa manane tunarudi si tukakutana na Polisi. Tukaambiana, tukutane shule na hakuna kutajana. Kila mtu apite njia yake. Hahaaa, sijawahi kukimbia kama nilivyokimbia siku ile. Mitaani watu walijua kiberenge kinapata.
Hahaha Enzo za makimaster au Nani?? Sembe
 
Umenikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa anatafuta nafasi ya ku-serve siku ya wali na akiipata utakiona kivumbi chake maana siku mbili hadi tatu anakula wali tena bila hata kuchemsha.

Jamaa huyo aliendelea kuwa tabia yake maana nilipata habari kuwa kwenye harusi ya mdogo wake huko kijijini alijiwekea pilau kwa ajili ya safari kesho yake. kilichotokea ni kuharisha karibu njia nzima.

jamani tabia za shule zingine zafaa kuachwa uanpofika uraiani.
Nime cheka kinyama 😀🤣
 
Me nakumbuka tulifukuzwa shule baada ya kumteka dogo mmoja wa form 3 kisha tukampiga na kumvunja miguu yote, kisa, alikuwa anajiona mzuri sana shule nzima.
Enzi hizo niko form 1 term ya pili.

Nasikia huyo dada now yuko pale Bandari, ila anachechemea mguu wa kushoto naana ulishindikana kunyoosheka fresh.
Mungu nisamehe.....ulikuwa utoto tu.
Shangazi Madame B ulikuwa mtu mbadi😁🤓
 
Nilikamatwa nimeiba mapera shamba la shule na headmaster, Kulwat Rai Chaudri nikapewa adhabu ya kula mapera yangu assembly next day, si nikabugi nikaja na kisu. Nilipigwa suspension ya juu kwa juubila hata ya kusikiliza.
 
Back
Top Bottom