Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,662
Mwingine alivyopokelewa Dom watu wakazma taa fm6 m1 akazima taa akasema lete mafutaa(hawakumfanya chcht) yule dogo mwezi mzima akawa akikutana na fm6 Anashka kichwa kama kachanganyikiwa
Hyo umenkumbsha muv 1 hv inaitwa blood quantum jamaa alikamatwa na police kwa kosa la kunyea gar la watu alipanda juu ya daraja akategesha matercall gar likipita anyeee😁😁Nilikunya mbele ya mlingoti wa bendera
Umetishaa 😂~Ulitengeneza water heater kwa kutumia spring za vitanda. Usiku wa manane unachemsha mahindi ya shamba la shule. Container la kuchemshia mahindi ni plastic la nje la chupa ya chai iliyoondolewa flask yake, inashikiliwa upside-down, i.e mfuniko ndo unakuwa base, na bottom yake inafunguliwa kuwa ndo mdomo wa 'sufuria' lako. Heater inawekwa kwanza katikati, then mahindi yanakatwa vipande na kupangwa around the heater.
Ukimaliza kuchemsha unarudisha waya wa umeme juu ya dari ambako ndiko connection ilikofanyika, kwani ni marufuku kutumia umeme wa socket!
Hii kitu boarding wengi wanaijua Sana tu. Hita noma mkuuNilifanya the same shule moja ya boys huko mbeya
Umetisha bushman[emoji23][emoji23][emoji23]Tumesoma boarding Boys tupu,nimeingia form 1 shule na suruali tatu na mashati yangu ya tomato matatu yanawaka hatari.
watu walikua wezi ile shule ukianika shati ukigeuka hv kwenda kuchota maji ukirudi kama sio umebadilishiwa shati umewekewa lililo gina basi wameli iba lako kabisa.
nilijitahid kulinda nguo zangu ila wapi ziliibwa moja moja hadi nikabaki na 1 pair yani shati 1 suruali 1, tranka langu nalo wakapita nalo nikabaki mimi na madaftari yangu maana madaftari huwa siweki kwenye tranka
kitandani kwangu ndio library,tranka lilivyoibwa na nguo nlonayo ni 1 pair,nilikua SIjali wala sina habari na mtu nilikua nikitoka darasani nafua nguo zangu naanika nabaki UCHI yani plain natembea hivyo hivyo kila mahali.
waliniita MSANDAWEEEE (bushman) sikua nikivaa nguo kila ninapoenda naenda bila nguo siajli mtu.
Shati langu lililobaki nililikata kuanzia tumboni kuja chini nililikata lote siku za darasani navaa sweta ticha hajui shati langu lipo nusu.
Suruali yangu nikaitoboa matakoni kisha nikashonea kiraka makusudi kama Alama,nguo zangu zilibaki salama salmini na ndio ukawa mtindo wangu hadi sakata langu la kuibiwa nguo HEAD MASTER alipoingilia kati na kusema ole wa mtu aibe nguo zangu. Hapo ndio nikaanza kuwa smart.
ila form 2 na 3 yote nilikua naishi kama msandaweee,u smart nimeuanza form 4 baada ya jina kuwa kubwa shule nzima hamna asiemjua msandaweee hamna asiejua shati la msandawee likoje na suruali zake ule STAR ndio ulipelekea headmaster kunijua na kuniita ofisini kuniuliza KULIKONI.
Kafiri!
R.I.P prof.Mohabe Nyirabu fundi wa International Relations.Anakwambia "if you scratch my back,i scratch yours!"Hii kitu mm pia nlifanya chuo, tofauti mm nlimis test, kwa wale mliosoma dsm mnamkumbka dr Nyirabu wa PS deptment, chezea kumis test bila sababu za msingi
Sasa Nyirabu hakurudi kwenye pepa kuangalia waliofanya si huwa wanaandika majina,signature na adm.no?Hii kitu mm pia nlifanya chuo, tofauti mm nlimis test, kwa wale mliosoma dsm mnamkumbka dr Nyirabu wa PS deptment, chezea kumis test bila sababu za msingi