Kuna MODs ntawalambisha ban ..."things we do for love " lolz
Nahhh is not a big deal aee.
Saa nyingine unahitaji ile quite moment ..
actually ban is good ... kila kitu kinachoonekana kibaya kina Uzuri ndani yake ...
Muone Klorokwin...
Mara nyingi mapenzi yanatusukuma kutumia moyo zaidi kuliko kutumia brain...lakini ni human nature. But the most important thing kwangu ni kuachana na mazoea...kujifunza kila siku nini kinapaswa kufanywa mapenzi yaende mbele. Lakini hoja ya msingi bado hujaieleza....crazy things we do for love!sikuua mpenzi ila wakati mwingine sijui huwa tunatumia efforts kubwa na wrong approach labda kwa wale tuwapendao halafu we end up kuwa vituko ..............na kituko kwako mwenyewe baada ya muda.
:A S 13::A S 13::A S 13:.....:hand::hand:
mna vidomo domo na vimbele front eeh...lol (kidding)
heheeee kulipa kisasi ni 'zambi' hivoo...halafu wao wana immunity
See...it isnt!! Also taking into account the fact that one can just pop in with a new ID, so...
Hili neno nilikuwa sijalisikia kitambo...hahahaha
Hahaha!!! Gee ngoja nicheki na Innovator...lolHahaha The Finest shabiki kweli! Maana nna wasiwasi kuwa huyo Mlugaluga unamjua!
Waooooo
Come down tiger ..
Don't get angry for nothing aee.
Was just a joke ..
Anyway
Hongera kwa kuwa lawyer ....
Weka tujionee lol.Mzembe nilipigwa kibuti kariakoo sokoni, nikajifanya kupaparika paparika kama nina kifafa halaf nikazimia ili anionee huruma, hehehe ile nimejifanya kuzimia na ujicho umoja nikauweka nusu wazi ili nimuangalie kama ananionea huruma kweli, asslalamaleko walahi! akapita jamaa na cha maringi manne akambeba na hapo ndio nikazimia kweli kweli, nilipigwa dripu tano zilizochanganywa na glucose na nashkuru mwaka ulofatia niliweza kupiga kura.
Kuna jamaa alinichukua kwa kamkoda, mkibisha nitakuwekeeni mkanda laivu mjionee
Bado tu hujamuuliza?Ngoja kwanza nimuulize vipi aliona nimefanya ni crazy kisha ntaku PM...lol
Hahaha!!! Gee ngoja nicheki na Innovator...lol
Mzembe nilipigwa kibuti kariakoo sokoni, nikajifanya kupaparika paparika kama nina kifafa halaf nikazimia ili anionee huruma, hehehe ile nimejifanya kuzimia na ujicho umoja nikauweka nusu wazi ili nimuangalie kama ananionea huruma kweli, asslalamaleko walahi! akapita jamaa na cha maringi manne akambeba na hapo ndio nikazimia kweli kweli, nilipigwa dripu tano zilizochanganywa na glucose na nashkuru mwaka ulofatia niliweza kupiga kura.
Kuna jamaa alinichukua kwa kamkoda, mkibisha nitakuwekeeni mkanda laivu mjionee
Mzee mwenzangu, sie tuliosoma shule za Nyerere, hizi lugha tuwaachie watoto wa St. Academy lol:sleepy:Huu ukilaza huu..............Yaani nimeelewa hapo kwenye BOLD tu..........!
Hebu wataalamu wa lugha hii ya mcharazo mje kunifasiria, maana nimetoka kapa hapo...............LOL
Khaa....!Duh, I loved to the point of impregnating someone's daughter! :scared: