Indeed AD....positive thinking, positive outlook of life...maisha haya tuyapeleke vizuri mpaka tunapoweza.
Turudu kwenye mada, crazy things we do for love, lol
Sio aibu peke yake swahiba, pia twahofia sredi isijehamishiwa jukwaa la wakubwa lol.Naona watu wanaona aibu kufunguka....Hahaha!! PJ ya kwako kali nina imani huko porini haikuwa maeneo ya Mikumi..
Nimeedit kidogo original post kasome tena!Ulifanikiwa kupata hilo penzi PJ?.....
Lol...Swahiba nimekuelewa sasa kwanini na wewe haujataka kufunguka...lolSio aibu peke yake swahiba, pia twahofia sredi isijehamishiwa jukwaa la wakubwa lol.
Hewaaa...utanidai kidali cha kuku, chips mayai na Fanta PineapplePA Nimejipendekeza kua Mkarimani.... Naomba lile deni ambalo nakudai uniongezee walau 30 ya soda.....:wink2: (ila story yako nimeruka.... na sio kwamba ipo sawa naweza nikawa nimekosea ila have tried my best)
Mapenzi… Mapenzi… Mapenzi….
Mapenzi ni hisia za ajabu… Kama umewahi bahatika kupenda Kimapenzi ama kuna mtu wampenda kimapenzi unaelewa hasa nini namaanisha kua ni hisia za ajabu. Kuna mtu Alisha wahi sema "Nimependa hadi kikomo cha Ukichaa, Jinsi ambayo kwangu ni njia pekee ya jinsi ya kupenda" na nakubaliana nae. Mara nyingi kwa sie wanaume kukubali kua twapenda kwa dhati wapenzi wetu ni kazi ILA Amini nakuambia nasie wanaume hua twapenda kiasi cha kuchanganikiwa mara moja moja. Upande wa wanawake hakuna ubishi kua wao wapo wazi zaidi kuonesha upendo wao hadi kikomo cha ukichaa. Wapo bora sana katika kutuonesha hasa ni namna na Kiasi gani watupenda… Much Love kwa akina dada/mama wote!
Kuna mambo ambayo waweza fanya yalo ya ukichaa yakawa ndani ya uelewa wa mwanadamu ukiwa uko ndani na dimbwi la Mapenzi. Lakini kuna mara nyingine watu hufanya hadi kuvuka mpaka ama niseme kua zaidi kuliko. Wengine hufanya ya ajabu/sio kawaida na kutengeneza kumbu kumbu nzuri na za kufurahisha. Lakini kuna wale hufanya yale ambayo yamevuka mpaka hadi yaweza badilisha maisha ya wahusika daima!
Leo nipo interested katika kukumbushiana ni mambo gani ya Ukichaa tumefanya kwa ajili ya Penzi… iwe sasa, karibuni ama zamani. Kitu gani cha ukichaa zaidi usha wahi fanya? Kiasi kwamba hata ukikumbuka sasa wajiuliza "hivi kweli ni mimi Yule alofanya yale?"
I know dear!@ PJ wenzio tumefanya vya aibu kuliko hiyo yako mpaka twaogopa kuandika hapa ila vipo tena vingi sana.
Uzuri ni kwamba kila mtu anakiri ku/kuwahi fanya...
Hivyo vya kwanza ni sawa, lakini hapo kwenye red, mmmhhhh!..mambo ya kipaplipapli siyo?..Je ni siku ya kusoma Maulid ya mtoto, au ubarikio, au ndo kinywaji ya siku zote?..aisee!Hewaaa...utanidai kidali cha kuku, chips mayai na Fanta Pineapple
Hahahaha! Walah nimecheka kwa sauti, palikuwa mbali hapaendeki eeh? lol. Kweli mapenzi hayana adabu..Nimeedit kidogo original post kasome tena!
Kwa ufupi sikupata hata hilo penzi, si kwa nia mbaya, lakini kwa sababu mwenzangu aliishia kuumwa mno kwa kuniona nimeenda hadi huko alipokuwa!...nikaishgia kuuguza!...huh!
Hewaaa...utanidai kidali cha kuku, chips mayai na Fanta Pineapple
honestly sijawai kuona ukichangia thread zaidi ya kuchakachua?@ PJ wenzio tumefanya vya aibu kuliko hiyo yako mpaka twaogopa kuandika hapa ila vipo tena vingi sana.
Uzuri ni kwamba kila mtu anakiri ku/kuwahi fanya...
Hivyo vya kwanza ni sawa, lakini hapo kwenye red, mmmhhhh!..mambo ya kipaplipapli siyo?..Je ni siku ya kusoma Maulid ya mtoto, au ubarikio, au ndo kinywaji ya siku zote?..aisee!
Hahahaha! Walah nimecheka kwa sauti, palikuwa mbali hapaendeki eeh? lol. Kweli mapenzi hayana adabu..
Lol...Hahahaha PJ banaaHivyo vya kwanza ni sawa, lakini hapo kwenye red, mmmhhhh!..mambo ya kipaplipapli siyo?..Je ni siku ya kusoma Maulid ya mtoto, au ubarikio, au ndo kinywaji ya siku zote?..aisee!
Nimejizuia kucheka lakini imeshindikanaNimeedit kidogo original post kasome tena!
Kwa ufupi sikupata hata hilo penzi, si kwa nia mbaya, lakini kwa sababu mwenzangu aliishia kuumwa mno kwa kuniona nimeenda hadi huko alipokuwa!...nikaishgia kuuguza!...huh!
Laughter is always the best medicine... unless you have diarrheaHahahaha! Walah nimecheka kwa sauti, palikuwa mbali hapaendeki eeh? lol. Kweli mapenzi hayana adabu..
Laughter is always the best medicine... unless you have diarrheaNimejizuia kucheka lakini imeshindikana
Laughter is always the best medicine... unless you have diarrhea