"CRAZY Things We Do For Love"...

Ni kwasababu you were in LOVE...
 
hapa tatizo langu kuu ni vingeredha tu...!

saa sijui nachangiaje hii mada...!ngoja nitafute dikshenare
Teamo labda kama unataka ku-translate kutoka Kiingereza cha Oxford kwenda cha Cambridge..
 
The Finest uzi mzuri sana, nimejikuta najichekea peke yangu...

Kiukweli sina hakika kama kuna ambaye atakuwa hajafanya Crazy things when he/she is in real love.. Mengine ya aibu swahiba hayafai kuandika humu lol... Ila yapo mengi...
 
Thanks indeed....Don't forget strawberries as well love and angel as should be included on the anniversary..
tuta hakikisha angel ka lala .... then...

Strawberries, malted chocolate, whipped cream hahahahah lol crazy things we do for love lol
Candles , passion pop wine, and romantic bubble bath with beautiful red roses on top hahaha ..
 
The Finest uzi mzuri sana, nimejikuta najichekea peke yangu...

Kiukweli sina hakika kama kuna ambaye atakuwa hajafanya Crazy things when he/she is in real love.. Mengine ya aibu swahiba hayafai kuandika humu lol... Ila yapo mengi...
Swahiba yaseme tu, ila ile stori ulivyomwambia jamaa kuwa umekimbizwa hospitali sitoisahau jamaa akaacha kazi zake..lol
 
hapa tatizo langu kuu ni vingeredha tu...!

saa sijui nachangiaje hii mada...!ngoja nitafute dikshenare

Lugha ya bibi hii inawafanya wengine wapate mademu humu humu, mademu wanashoboka watu wanao bong'a ung'eng'e
 
tuta hakikisha angel ka lala .... then...

Strawberries, malted chocolate, whipped cream hahahahah lol crazy things we do for love lol
Candles , passion pop wine, and romantic bubble bath with beautiful red roses on top hahaha ..
Mhhh!!! Yummy Yummy...Now you are talking... also don't forget chasing you with a plane while you are running on an air strip...lol
 
Oh' Ndahani.... That is so sweet of you.... Nimependa maneno yako on every day life... Ukiwa positive na msimamo positive... yalo kuzunguka hua mepesi walau to some extent kuliko ukiwa otherwise...
 
hapa tatizo langu kuu ni vingeredha tu...!

saa sijui nachangiaje hii mada...!ngoja nitafute dikshenare

Teamo... When ever I see your name I remember the thread To Love and feel Loved (that is the first time I really knew you); sioni kama utakua umetutendea haki kutubania the CRAZY things you have done when you were in Love....lol
 
Mende banaa.....hahaha

Watalaam wa saikolojia tunayajua haya
Sawa na darasani mademu wanavyo shobokea Kipanga wa Math, Kiingereza na masomo mengine.
Kwenye maisha mademu/demu huyo huyo anashobokea mtu mwingine mwenye fedha aka makuta meengi
Na wakisha shoboka kuvuliwa chupi ni rahisi tu kama unamsukuma mlevi hili lipo wazi
 
Oh' Ndahani.... That is so sweet of you.... Nimependa maneno yako on every day life... Ukiwa positive na msimamo positive... yalo kuzunguka hua mepesi walau to some extent kuliko ukiwa otherwise...
Indeed AD....positive thinking, positive outlook of life...maisha haya tuyapeleke vizuri mpaka tunapoweza.
Turudu kwenye mada, crazy things we do for love, lol
 
hahaaaa mmmhhh....kwaheri!
 
Nimepitia Post kwa post katika hii thread, lakini hadi nafika post #53 sijaona mtu aliyeeleza 'Lively' vitu vya ukichaa alivyowahi kuvifanya katika experience ya penzi kwa mtu wake...tunaongelea literature zinazohit around the bush....too bad!
Sidhani kama mleta mada alitaka thread iende hiv, japo na yeye mwenyewe amekuwa carried out na wanao'derail thread yake!...huh!!

Mimi wakati huo nikiwa katika peak ya mapenzi nilishawahi kusafiri Kilometa 1600 kufuata penzi, nikaharibikiwa na kulala porini siku 5!...nilipofika kwa mtu mlengwa alishtuka mno kwa ujio wangu(maana nilimsurprise) hadi akaishia kuumwa tumbo kwa siku 3!
Niliporudi kunako ofisi nikakuta kibarua kimeota nyasi, enzi hizo hakukuwa na simu za mkononi, hivyo hata kuwapigia watu wa ofisi kuwa nimestuck ilikuwa haiwezekani!...Bahati nzuri nikapata kazi sehemu ingine!

Mapenzi ni kichaa full!
 
Swahiba yaseme tu, ila ile stori ulivyomwambia jamaa kuwa umekimbizwa hospitali sitoisahau jamaa akaacha kazi zake..lol
Lol...ndio mana nimebaki najichekea swahiba....bora mimi nilimdanganya jamaa nimekimbizwa hospital,

kuna mdada mmoja jirani yangu aliwahi kumpa mtu simu apige kwa mumewe amwambie kuwa kagongwa na gari na amefariki palepale...ni story ndefu ila baadae tulimuuliza mdada kwanini alifanya vile anasema ni kwaajili ya upendo alionao kwa mume wake... TF hiyo nayo twaiitaje? Manake kuna Crazy things nyingine waweza fanya ukajikuta wamtoa mwenzio roho ati..
 
Naona watu wanaona aibu kufunguka....Hahaha!! PJ ya kwako kali nina imani huko porini haikuwa maeneo ya Mikumi..
 
Ulifanikiwa kupata hilo penzi PJ?.....
 
Halafu bahati mbaya anatoka nje kweli halafu anagongwa na gari..lol...sijui inakuwaje maana kuna ishu zingine inakuwa kama vile unajichulia kifo chako kabisa....
 
labda naweza sema ''the craziest things ever''....!

mi kitu kikubwa kabisa ambacho naweza sema ni the craziest ever ni hii situation of failing to get married to my first

love..!one can imagine on how do we bank/invest on our first lovers...!you know what...i gave her my all!...i was

madman!...and it never worked to the destiny
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…