1. you know I am serious, if I really wanted to know I wouldn't ask you here and
2. You know I am not crazy and I wouldn't do crazy stuff. I leave that to my other personality (AshaDii) 🙂
Yes, I haven't felt like this for quite some time. Njoo basi kule kwetu tuongee niku-contaminate my mood. :wink2:
Adiii ... you know am not going to tel it here!! am happy of your honesty ... I really miss your inner Quality .. Its firm flowing total love.. I know am too rigid .. trying to intellectualizing even Love ...hah hah.. you know how to solve this?hahahah..... I have noted...lol.Sasa AJ tell me something crazy you have done for love....lol
Adiii ... you know am not going to tel it here!! am happy of your honesty ... I really miss your inner Quality .. Its firm flowing total love.. I know am too rigid .. trying to intellectualizing even Love ...hah hah.. you know how to solve this?
Duh! Pole binadam lazima uwe na historia ili kuweza kuwasimlia "wajukuu zako" kama utabahatika kuishi mpaka huko.Nitarudi baadae.
mvaa tai pole sana duh!
Mimi sitasahau pale nasoma shule ya msing nilikuwa napendana na msichana mmoja kila nikimuomba ananizungusha, sa siku alipokuwa kakubali alimtuma msichana ambaye alikuwa ndo namtumia namna ya kuwasiliana naye pale mana ndugu zake tulikuwa shule moja, akasema mwambie fazaa anipe basikeli yake ilinitangulie kule kwenye pori la shule kiasi kama 1 km ili nikale vinono...mara mwalimu mkuu akaniita kunituma nipeleke sijui kitu gani kwake tena ilikuwa umbali wake kama km 8 hivi nilibaki hoi nikamkosa huyo msichana tena sijamgusa mpaa nimeondoka Tanzania....Tulibaki kuwasiliana kwa njia za watu wakaribu yake kama wanakuja huku anasema msalimieni fazaa....Ahh msichana mwenyewe kaolewa Dar es salaam sasa hivi lakini sina contact naye na sidhani kama nashida naye tena sababu nimeisha owa na yeye kaolewa.
Sijibu hapa maana pananikumbusha yaleyale yaliyodhaniwa na Girlfriend wanguPole mkuu ila mi nafikiri ulitaka kukata kiu kidogo wakati demu wako hayupo maana kwa maneno ya mtaani wanasema demu mbaya ndio mtamu na maku yake inabana sana sababu hatongozwi saana na hata kugongwa hivyo hivyo kwasababu havutii. next time maliza kabisa si unaona umehukumiwa kwa kosa ambalo hukutenda
Duuuuuh_pole sana mdau,...ila jifunze_sio kila kitu unavyokidhania ndio kilivyo mkuu.......pole mkuu
mm nakumbuka kuna bnt moja nlmpenda sana toka akiwa standad 4, mm nkiwa la 7..nilpenda na alkuwa akjua ila ckuwai mwambia, nilikuja mwambia akiwa 4m3 alikubali lakn akiwa shulen mkoan mm nikiwa likzo ya kumalza 4m6..ha2kuonana mara kwa mara kwasabu ya kutofautiana likzo,kwa sababu nilikuwa nampenda sana nilkuwa namjal sana, boom langu mara kwa mara nlkuwa mpunguzia japo kwao wako vzur, kwa bahati nzur 2lionana nikiwa chuo mwaka wa 2...nlfrai nkamuomba mpnz wng 2nanii akasema hana muda..alnizungusha had likzo ikiasha, nikiwa chuo yupo karbu mm nikfunga yupo tyt..kwakuwa nampenda nlkubaliana na hyo hali..chaajabu nlvyo malza chuo nlfwata akaniambia amempata m2 anataka kumaona..iliniuma sana cz nlpenda karbia miaka kumi, kinacho uma zaid sikuwai hata mchumu.
Sijibu hapa maana pananikumbusha yaleyale yaliyodhaniwa na Girlfriend wangu