Ashadii, natamani ningekuwa kama wewe kwamba ukishafanya hujutii, kusema ukweli mie kuna kitu nilikifanya yani najuuuutaa, kila nikikumbuka natamani siku zingekuwa zinarudi nikarekebisha ile hali, mana hata siamini ilikuwaje nikaruhusu hali kama hiyo itokee yani natamani kujitia makwenzi kama hiyo ingesaidia
Watalaam wa saikolojia tunayajua haya
Sawa na darasani mademu wanavyo shobokea Kipanga wa Math, Kiingereza na masomo mengine.
Kwenye maisha mademu/demu huyo huyo anashobokea mtu mwingine mwenye fedha aka makuta meengi
Na wakisha shoboka kuvuliwa chupi ni rahisi tu kama unamsukuma mlevi hili lipo wazi
Nilikua sijaona hii thread. Hivi tunaruhusiwa kutaja vingapi? Coz wengine ni craziness throughout, wanajitambua after breaking up. lol
does it realy mean that MOD's cant see these crazy posts.
Wha'the '''''''' is this?
Wala sio mimi Kipipi. Mi sikumbuki kitu really crazy. Vyote nilivyo fanya then, I would do it again today. 🙂We taja kadri ya uwezo wako, isipokuwa vile vitakavyopelekea uzi kuhamishiwa kwenye lile jukwaa adimu!!
Nilikua nampenda sana, nikapata matatizo ya kiafya ambayo yaliniweka katika hali ya kutoweza
fanya sex bada ya kua prohibited kwa miezi sita. sababu tulikua twapenda sana kukutana kimwili nikajua
huo utakua mtihani kwa mpezi wangu. I was so naivu na mjinga wakati huo nikadhani I was the speacial
one na haangalii wanawake wengine ila mimi tu. nikatafuta rafiki yangu ninae mpenda a sex na huyo mpenzi wangu kwa miezi mitatu hio. nikiamini ni mwaminifu hatathubutu kutongoza wengine na atavumilia hadi mimi nimruhusu.
sasa that nimekua ndio naona how stupid and crazy I was!
Wala sio mimi Kipipi. Mi sikumbuki kitu really crazy. Vyote nilivyo fanya then, I would do it again today. 🙂
I felt the 'like'. lol. SO, what is the crazy thing you did out of love AJ?... Realy waited to see you n this thread! hah hahah!! I liked your comment!!
... Realy waited to see you n this thread! hah hahah!! I liked your comment!!
Mimi ndio moja ya wale kua If I love I love hasa roho yangu haina adabu wala simile..... Yaani I have done so many crazy things for Love and I keep doing them na mengine ni so ni embarrassing to admit them (saa ingine hata kama uko peke yangu waona aibu mno... or you blush or whatever). Kuna mengine wafanya wabaki kujiuliza ulipata wapi courage... saa ingine hata uamini it was you.... na sometimes kujuta kua you have been stupid na kujiweka vulnerable kupita kiasi to the one you Love. Good thing hua sijutii I believe in complete investment in Love sipendi mambo yakiharibika nianze na ningejua, ningeongeza bidii, ningependa zaidi na bla bla zote za ningejua.... For I believe ukipenda kweli you give your whole mradi iko within your power na ethics . Ubaya huja kua ikitokea ukapata a Man who is selfish and insensitive aweza kukuumiza mno na moyo wako kufinyangika!
The crazy things we do for Love . PA Acha tu!
Hi Alter... :busu how are you this evening?AJ Hi.....
AJ Hi.....
I felt the 'like'. lol. SO, what is the crazy thing you did out of love AJ?
Hi Alter... :busu how are you this evening?
1. you know I am serious, if I really wanted to know I wouldn't ask you here and.... Tell if your that serious ... and... BTW I didnt see yours !!
Hah ahah!! You know what I was doing ... word to word .. each post and ... eh!!
Yes, I haven't felt like this for quite some time. Njoo basi kule kwetu tuongee niku-contaminate my mood. :wink2:Can you believe I am not sure how I am? However the alter in me can sense you are in high spirits.... Kisses to you... warmed up specially....:A S kiss::A S-heart-2:
RR!! You rnt so much different from me ... Too much intellects in Love things ... It cant go that way ...me too ... m too carefully!! ...The other personality ... I wish i could be that way!! ..be honest and let it flow!! ..but am learning to let Love run everything!!1. you know I am serious, if I really wanted to know I wouldn't ask you here and 2. You know I am not crazy and I wouldn't do crazy stuff. I leave that to my other personality (AshaDii) 🙂