Asha,i am a survivor, a big survivor,upweke hauntishi.Leo nilikuwa nawambia wanangu...'you are grown ups,get out of my house.....nimekuleeeeni ,nimekusomesheni....nimekutafutieni kazi.....fine tuko wenyewe humu ndani so what?....hawajanijibu na ndo wanatoka kwenda wapi sijui maisha club? Bilicana?
ndomana nakwambia niPM,haya ya kutamkia kadamnasi eti....'my marriage is on the rocks'....inahusu?,mwone!hahaha.... My marriage is on the Rocks... and I was hoping B' ana maanisha nianze kujigonga kua ni mtaalam wa kuepusha u lonely in a man.... hahahaha... Basi tena ngoja tu nikambembeleze baba watoto.
ndomana nakwambia niPM,haya ya kutamkia kadamnasi eti....'my marriage is on the rocks'....inahusu?,mwone!
CCM hoyeee,hahahaha..... Ndio unitukane?? Ukiona hivo ujue sio kweli....lol... Basi tu umeniboa kusema wewe ni survivor you don't need a partner... (seriously who does not need one?) Nipo katika ile stage of marriage where nothing can go wrong... yote majaribu tumepita na tumemaliza....lol
CCM hoyeee,
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
hahahaha.... Kwa hiyo nikiharibu cv kwako uanaona sio mbaya? mimi I still want us to be friends... Hilo ndo ninalo preserve... BTW B' mbona leo waniita saana PM kuna nini?
ndomana nakwambia niPM,haya ya kutamkia kadamnasi eti....'my marriage is on the rocks'....inahusu?,mwone!
ADII, usikubali kwenda chemba, B' ni nyonya damu.
Don't say i didn't warn you!
Nilishawai kuwa in love
Yaani huwa najiachiafull hadi najisahau mwenyewe
Every moment of time/every second minute,hour namuwaza lover wangu tu
i miss him every moment of time
yaani naconcentrate 90% ya maisha inakuwa ni love
thats why hata yanapofikia mwisho huwa najiuliza sana nikwa nini maana nilitumia effort na energyzote kumwili na kiroho kujenga hayomahusiano
naam AD niko okay,vipi kwani?Are you okay?
kumbe we mwoga hivo?I trust your word! Siendi nimeahirisha.....lol
I surprised my fiancee by pi-petting her tigo
come on,mwaga razi Asha,tupe mfano mmoja wa crazy act ukiwa ndani ya maloveeee!
mi nikimpenda mwanamke shurti nimtwange kama sio nyumba basi angalao ka harrier,hata kama mwenyewe sina nyumba,chezea Bishanga wewe!
Duh!! Aisee si mchezo...wapo wachache sana wa namna hii...My sister had to hire a man to approach her husband mistress, na alifanikiwa, the guy was so handsome and the girl couldnt resist him, mapenzi yao yalipokolea kabisa kiasi cha kukumbatiana na kukiss hadharani, akamwambia yule kaka waende mahala kwa dinner na yeye akamwambia mumewe anataka kumpa taarifa muhimu ya furaha anataka amtoe dinner,walipofika pale wakawakuta wale wako na mabusu na nini na kijana alivyoona vile akazidisha mahaba, yaani it was like movie,fun enough dada alikuwa kweli ana habari alikuwa mjamzito,akamwambia jamaa akajifanya kufurahia, huku kila saa anaangalia pale na kutuma msgs, hajawaahi kumwambia jamaa kama amefanya vile na sasa miaka imepita yuko happy na mumewe, naona jamaa aliona sasa hii ya kuwa na mabibi wala siyo deal kivileee
Oooo Yes she did crazy staff,isnt it?
Ashadii, natamani ningekuwa kama wewe kwamba ukishafanya hujutii, kusema ukweli mie kuna kitu nilikifanya yani najuuuutaa, kila nikikumbuka natamani siku zingekuwa zinarudi nikarekebisha ile hali, mana hata siamini ilikuwaje nikaruhusu hali kama hiyo itokee yani natamani kujitia makwenzi kama hiyo ingesaidiaMimi ndio moja ya wale kua If I love I love hasa roho yangu haina adabu wala simile..... Yaani I have done so many crazy things for Love and I keep doing them na mengine ni so ni embarrassing to admit them (saa ingine hata kama uko peke yangu waona aibu mno... or you blush or whatever). Kuna mengine wafanya wabaki kujiuliza ulipata wapi courage... saa ingine hata uamini it was you.... na sometimes kujuta kua you have been stupid na kujiweka vulnerable kupita kiasi to the one you Love. Good thing hua sijutii I believe in complete investment in Love sipendi mambo yakiharibika nianze na ningejua, ningeongeza bidii, ningependa zaidi na bla bla zote za ningejua.... For I believe ukipenda kweli you give your whole mradi iko within your power na ethics . Ubaya huja kua ikitokea ukapata a Man who is selfish and insensitive aweza kukuumiza mno na moyo wako kufinyangika!
The crazy things we do for Love . PA Acha tu!