✅ ngoja nijisahishie mwenyewe061.. hapo vp Linko
❌012 ndiyo jibu sahihi.
Mwalimu wa math nimesahihisha.
Kwa mliokosa, mtaelewa kwenye correction.
pitia upya maelezo utajua jibu ni 012.
nmepitia kwa umakin sana ila bado naona 061pitia upya maelezo utajua jibu ni 012.
basi hujapitia kwa umakini.nmepitia kwa umakin sana ila bado naona 061
exactly042
Genius![]()
maelezo yaliyo chini ya namba 682 yanaifanya 6 isiwe katikati.
Baki kwenye lile bandiko lako..😅😂
Baki kwenye lile bandiko lako..
Jibu ni 062



unanifukuza jamani!!Umeyumba mkuuBaki kwenye lile bandiko lako..
Jibu ni 062
Uni-pm halafu nikutumie vocha