CPWAA anatumia mkorogo??? Umaurufu wa Bongo Bwana

kajikojolea au?? maana naona kama kuna mchirizi wa kojo dani ya guu ya kulia:eyebrows:
 
kuanzisha topic kama hii JF ni kudhalilisha wanaJF. Si kila ishu ya facebook inafaa hapa. Tanzanians GROW UP MEN!
 
Mambo ya Cameroon hayo.wanaume tumebaki wa kuhesabu.

sisupport mkorogo ila kutokupaka au kupaka mkorogo si kigezo cha uanaume!kuna shoga anaitwa bilal kinondoni hapaki mkorogo ila anapumuliwa kisogoni!and f.y.i huyo CP ni smart gangster,mtoto wa kihuni miaka mia nane usimpimie kimuonekano.....
 
wangewajua wazazi wake kwanza ndo wangesema mkorogo au majaaliwa.....
 
wangewajua wazazi wake kwanza ndo wangesema mkorogo au majaaliwa.....

nimegundua watu wenye sura mihogo wanakuwa kandia sana kwa wakali waliojaliwa muonekano!!!!!hiyo picha angekuwa mwanamuziki 20% au mrisho mpoto, mambwiga wangemtetea ila kwakuwa CP mauzo mia kimtindo ndo maana....
 
ulabu umezidi? au mambo flaniii
(kwenye duara)
View attachment 43685

attachment.php

E bwana kama jamaa kapiz alivyomshika huyo dada,hivi ni mange huyu au mona kafanana na wa u-turn?
 
I agree.
Ila ile sehemu ya mwanzo kabisa with the robe...hell no!
Whether it's the robe itself or how he ties it, some's not right with the final look.

hahahah lol
I love the whole thing..
he did a great job.. Good on him..
 
Wewe nawe mwongo sema unamlavu mwenyewe sio new song yake, hamna lolote hawa jamaa hawana furture

Watu wengine bana ..
we unajua mi na penda na sipendi kipi??
Tangu line we unajua future ya mtu ..
usijifanya unajua maisha ya wengine kumbe huna lolote..
 
acha upimbi ulikuwa unatafuta nini sasa humu!acha kujitia ujuaji......

sisupport mkorogo ila kutokupaka au kupaka mkorogo si kigezo cha uanaume!kuna shoga anaitwa bilal kinondoni hapaki mkorogo ila anapumuliwa kisogoni!and f.y.i huyo CP ni smart gangster,mtoto wa kihuni miaka mia nane usimpimie kimuonekano.....

nimegundua watu wenye sura mihogo wanakuwa kandia sana kwa wakali waliojaliwa muonekano!!!!!hiyo picha angekuwa mwanamuziki 20% au mrisho mpoto, mambwiga wangemtetea ila kwakuwa CP mauzo mia kimtindo ndo maana....
Hivi unhusika vipi hapa? maana naona unamtetea kweli... alafu unakaa kinondoni. mmhhh?
 
Watu wengine bana ..
we unajua mi na penda na sipendi kipi??
Tangu line we unajua future ya mtu ..
usijifanya unajua maisha ya wengine kumbe huna lolote..

tangu lini ngoma ya watoto ikakeshaaaa,...kama si miujiza ni nini?....yeleleyelele B-).*2
 
yaaani..mtu asisafiri kidogo akabadilishwa na hali ya hewa ya huko,baasi ishakuwa formula kuwa ni mkorogo...khaa!! Wala hana u-cameroon..ukitaka kuamini mlengeshee girlfriend wako au dada yako uone...

we wapi wewe,,, alikuambia hawa wenzetu wote hawafanyi kazi nani? Wengine wameoa na bado wanafanyiwa uanglikana....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom