Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,115
- 12,544
Hivi vyama toka Singapore, China na Vietnam vimekaa madarakani toka uhuru ila maendeleo vina waletea watu wake.
CCM sasa zaidi ya upumbavu hakuna jambo la maana wanalo tendea watu wake.
Chama cha PAP cha Singapore kipo madarakani toka 1959 miaka 65 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 515 billion
PPP = $ 757 billion
Chama cha CPC cha China kipo madarakani toka 1949 miaka 75 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 18.5 trillion
PPP = $ 35 trillion
Chama cha CPV cha Vietnam kipo madarakani toka 1954 miaka 70 angalia data zao hapa chini ⏬
G.D.P nominal = $ 467 billion
PPP = $ 1.5 trillion
CCM sasa toka 1961 kwa miaka 63 kazi yao haifurahishi hata kidogo G.D.P nominal $84 billion na PPP $228.
Hivi hawa CCM huwa wana jifunza nini kwa marafiki zao hao wakomunisti Wachina na Wavietnam mbona wenzao wanapepea ?
Hawa PAP wana ongoza kijitaifa kidogo kama Singapore kinatukimbiza hatari sisi taifa kubwa linalo ongozwa na hawa maharamia CCM. Hawaoni hata aibu hawa CCM ?