CPA (T) review classes - Zanzibar

abdulrahim

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
408
286
Habari wakuu,

Mimi si mwenyeji saana wa Zanzibar, kwasasa ninaishi hapa kisiwani naomba kujua ni wapi wanafanya review classes za CPA(T) kwa hapa kisiwani Zanzibar.Tafadhali mwenye taarifa sahihi naomba unijuze kupitia hapa.

Ahsanteni.
 
Nasikia pale RahaLeo karibu NA kariakoo....Japo nasikia kuna changamoto nyingi sana kusoma CPA Zenji

Nimekwishafika hapo Ndg. sijapata feedback ya kutosha, bado hawajaanza...Ahsante saana kwa msaada wako mkuu
 
Back
Top Bottom