Ukachukue? Hebu nenda afu utuambie hahahaaa
Mkuu upo sahihi na mifano yako inatosha hata kum-elekeza Kipofu. CPA Professional Degree hiyo anayosomea ni Academic Degree hivyo hauwezi kutambulika kimataifa au kitaifa kama wewe ni Mhasibu mpaka pale utapokua na CPA kwa maana uhasibu unaundwa ktk Misingi ya International standards hivyo kama unatamani kuwa Mhasibu na sio Mhasibu msaidizi basi CPA ndio jibu.Cpa ni leseni inayokuwezesha kufanya kazi za kihasibu ambazo haziwezi kufanywa na mtu yeyote yule hata kama ni profesa wa akaunts. Ni kwamba kama unataka kuuza profesional yako kama wanavyofanya madaktari na wanasheria ni lazima uwe na cpa...pia mtu mwenye cpa hawezi kulipwa pesa ndogo kuliko amb ambaye hana hiyo cpa kwa taasisi ambazo zipo huru.
If u will have enough money kasome ACCA,its more marketable.
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nachukua accounting and finance, nawza sana kuhusu ajira baada ya kumaliza chuo mwakani, ningependa mnisaidie kunijulisha hivi siku hizi mtu ukiwa na cpa bado inasaidia au ni useless maana nataka nikishamaliza masomo yangu nikachukue na cpa lakini nasikia watu wanaziponda hadi naanza kua na wasiwasi kwamba ni bure tu siku hizi, naomba majibu wadau