real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,302
Habari za saa wakuu mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili nasomea accounting and finance, nawaza sana kuhusu ajira baada ya kutoka hapa, nilikua na wazo la kwenda kuchukua CPA baada ya kumaliza chuo mwakani, lakini nasikia siku hizi watu wanaziponda hadi mwenyewe naanza kua na wasiwasi kuhusu umuhimu nwake siku hizi, vp, bado zina dili?