cpa. msaada level ya kuanzia kwa degree ya accounting

concordile 101

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,059
5,991
Nina degree ya accounting ambayo toka nimemaliza ni zaid ya miaka mitano. Niko mkoani nimejaribu kuuliza nambiwa kwa kwa wadau wananiambia itabid niende foundation lakin nikisoma syllabus naona kuwa kwa ngazi ya degree ya accountin inabid kuanzia intermidiary. Naomba msada wa kuelimishwa je kiuhalisia ni kweli itabid nirud kusoma tena busineas mathematics wakat nimeisoma twice. Je ni exmption nitapata
 
Funga safari nenda board ukapate details or else ingia kwenye website ya NBAA....
 
Kwa degree unaanzia intermidiate stage then final stage
Uko sahihi kabisa. Ukiwa na bachelor degree au advanced diploma katika uhasibu au finance kutoka vyuo vya Tz utaanza na Intermediate stage ambapo utapiga masomo 6 then uki clear utamaliza na Final stage yenye masomo 4. La kama, umesoma vyuo kutoka nje ya nchi, kwanza vyeti inabidi viwe certified na TCU then utahitajika kupiga masomo kadhaa ya Foundation, ikiwemo Business Law na Taxation. Lakini kama alivyosema mkuu hapo juu, kupata details na instructions zilizonyooka tembelea tovuti ya bodi au ufike bodi kama upo karibu. Kila la kheri katika mwanzo wako.
 
Nina degree ya accounting ambayo toka nimemaliza ni zaid ya miaka mitano. Niko mkoani nimejaribu kuuliza nambiwa kwa kwa wadau wananiambia itabid niende foundation lakin nikisoma syllabus naona kuwa kwa ngazi ya degree ya accountin inabid kuanzia intermidiary. Naomba msada wa kuelimishwa je kiuhalisia ni kweli itabid nirud kusoma tena busineas mathematics wakat nimeisoma twice. Je ni exmption nitapata

Ni kweli kama umemaliza degree ya accounting unaanzia intermediate. Kwa wewe kwa kuwa umemaliza zaidi ya miaka mitano inawezekana ukaanza foundation. Kwa uhakika zaidi wasiliana na NBAA hata kama upp mkoa, kwani hawana email? Au namba za simu! Hapa huwezi kupata majibu sahihi
 
Back
Top Bottom