New Manase
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 294
- 39
- Thread starter
-
- #21
nimekupata mkuuNa cheo cha juu/mwisho utakachofikia ni uhasibu mkuu ........
Kwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!
asante mkuu wacha nitengeneze 1st class ntaifanya 2Ndugu,asikudanganye mtu CPA ndo mpango mzima ,ndo njia pekee ya kuexcell kwenye account proffession ni lazima ufanye hizo proffessional ezams za CPA au ACCA , na hautaregreat accounting ni proffession nzur balaaa.
Kwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!
ok man, i sapoz to do so!If you want to be professional then go professional!!!
CPA maana yake ni Certified Accountant ni sawa na kusoma CoET then ukaenda ERB kujisajiri na kuwa Certified zote mbwembwe tu cha msingi bank unasoma sh ngapi kwenye acc!!!
and what is the meaning of CPA-PPCertified Public Accountant.CPA ndo mpango mzima baba.
and what is the meaning of CPA-PP
poa poa mkuuCertified public accountant in public practices
asante mkuu wacha nitengeneze 1st class ntaifanya 2
ok mkuu nakusoma!C lazima first class,labda kwa ajili ya prestage bt all you need in this world of business ni Upper second plus na pass in proffessional exams
hahahahahaha! Ntaifanya mkuu ila modules zko nying sanaAcha uoga kijana sasa unasoma ili uwe nani kama hutaki kuwa professional accountant? kama unataka kuwa cashier sawa you can ignore it
Masters or CPA zote ni nzuri, Ila inategemea choice yako, ukitaka uwe kiacademic vizuri chukua master's, ukitaka uwe kiprofessional vizuri chukua CPA, but keep in mind muhasibu bila CPA in sawasawa na dereva bila leseniKwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!