Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Mnadhani meko anaweza kukulinda wewe

Nimechek Sana Inawezekana hao viongozi ndio wameanza mzaha na huu ugonjwaKwanini mnafanya mzaha na huu ugonjwa mpaka mnaupa sifa kiasi hiki?
Hata kama humpendi kiongozi wako, huu sio ubinadamu.
Upinzani wa bongo wa hovyo sana ndo maana wakina Selasini wanajiondoa.
Tuambie kwanza Kiongozi anayeitwa Meko ni nani?Kwanini mnafanya mzaha na huu ugonjwa mpaka mnaupa sifa kiasi hiki?
Hata kama humpendi kiongozi wako, huu sio ubinadamu.
Upinzani wa bongo wa hovyo sana ndo maana wakina Selasini wanajiondoa.
Dhaaa hao jamaa wa PS nawachukiana