Covid-19 Special Commonders on a mission

Kwanini mnafanya mzaha na huu ugonjwa mpaka mnaupa sifa kiasi hiki?

Hata kama humpendi kiongozi wako, huu sio ubinadamu.
Upinzani wa bongo wa hovyo sana ndo maana wakina Selasini wanajiondoa.
 
Mwambie Makonda aliyeshangilia mwenzake kuugua corona
 
Mnachokitafuta mtakipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo sifa kuandika hivyo! Wewe kesho yako huijui. Hujui Mungu ana mpango gani na watei wa watu kama wewe na Jiwe! Mwachie Mungu si ajabu hii corona ikaleta ahueni huwezi kujua. Usiseme hivyo tena kujivunia kuwatesa/kuwaua/kuwapoteZa/kuwabambikia kesi wenzako
 
Kwanini mnafanya mzaha na huu ugonjwa mpaka mnaupa sifa kiasi hiki?

Hata kama humpendi kiongozi wako, huu sio ubinadamu.
Upinzani wa bongo wa hovyo sana ndo maana wakina Selasini wanajiondoa.
Nambie tangu awamu ya tano waliopotea watanania ni wangapi? waliofunguliwa mashitaka ya kubambikiwa ni wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…