Hapana! ila usiwaambie watu wachemshe majani kwa muda usiojulikana na kukaa katika mvuke kwa muda usiojulikana. Hatujui wagonjwa wa Asthma na TB wanaruhusiwa au la.1. Hiyo nyungu mbona imeelezwa sana tu na Taasisi ya NIMR, chini ya uongozi shupavu wa Prof. Mgaya, ambaye amenukuliwa kwenye posti kadhaa zilizotangulia? Aah, I get you. Unataka tutumie sauna za mahotelini kwa vile zimetengenezwa mamtoni
'' Ila sisi'' ni akina nani?Iko namna hii: chanjo hiyo iko vema kabisa, tunajua haina shida yoyote. Ila sisi kwa sasa hatuitaki. Mnaturuhusu kuikataa?
Leo hii Jiwe akitamka tu watu wapate chanjo, waumini wake hawa watapigana vikumbo kila moja akitaka awahi hiyo chanjo kabla ya mwenzake. Huko Marekani wapinzani wa awali wa chanjo ndio hao hao walikuwa tayari kujipanga usiku mzima wakisubiri chanjo.Nguruvi3 said:'' Ila sisi'' ni akina nani?
Hapa mkuu unanionea, ha ha haaaa! Kwamba suala la South Dakota ni conspracy theories (CT)? Texas nao wanasema wanaamua kufuata staili ya Tanzania, governor kasema anaondoa lockdown! Hiyo nayo ni CT!? MBONA facts zimewasilishwa!?humu @TUJITEGEMEE anakesha akitafuta conspiracy theories za waumini wa Trump azilete humu...kweli ujinga ni mzigo wa misumari. Kumuabudu binadamu ni hatari kweli kweli...
Ngoja nikusaidie kidogo TUJITEGEMEE...South Dakota ni jimbo dogo sana nchini Marekani lenye idadi ya watu chini ya milioni moja (850,000) Kati ya hawa watu, laki moja na nusu walikutwa na virusi vya COVID-19 sawa na asilimia 17% ya wakaazi wote wa South Dakota.Hapa mkuu unanionea, ha ha haaaa! Kwamba suala la South Dakota ni conspracy theories (CT)? Texas nao wanasema wanaamua kufuata staili ya Tanzania, governor kasema anaondoa lockdown! Hiyo nayo ni CT!? MBONA facts zimewasilishwa!?
===
Sawa ila kumbuka wa kwetu ni zaidi ya Trump, akinguruma ni kama radi imepiga...Ya Trump tuyatafutie sehemu yake, ha haaa ! Ila hiyo ya sanamu imeniacha kinywa wazi!
Mkuu umesahau RT! teh teh teh! mbavu zangu!Sikujua Texas wanapiga nyungu na kufunga wakisali! Hebu nipashe!
They are hypocrites. If my memory serves me correctly. Trump supposedly refused to take the vaccine because he was immunized after he contracted and survived the disease. Fast forward, this week it was revealed that he was the first in line to received immunization, albeit secretly.Leo hii Jiwe akitamka tu watu wapate chanjo, waumini wake hawa watapigana vikumbo kila moja akitaka awahi hiyo chanjo kabla ya mwenzake. Huko Marekani wapinzani wa awali wa chanjo ndio hao hao walikuwa tayari kujipanga usiku mzima wakisubiri chanjo.
Trump na Mkewe walihakikisha wanapata chanjo mapema kabla ya mtu yeyote lakini humu TUJITEGEMEE anakesha akitafuta conspiracy theories za waumini wa Trump azilete humu...kweli ujinga ni mzigo wa misumari. Kumuabudu binadamu ni hatari kweli kweli...
View attachment 1716708
View attachment 1716704
Baadhi ya wajumbe wa chama cha Republicans wakiipigia magoti sanamu ya Trump iliyotengenezwwa kwa dhahabu katika mkutano wao uliomalizika siku ya Jumapili.
Wanatifuana sasa huko Europe kuhusu chanjo.Mkuu umesahau RT! teh teh teh! mbavu zangu!
Kitu cha kushangaza, Nyungu na kusali ruksa, mbona vaccine inakuwa nongwa?
Vaccine, wanaoendelea na maombi haya! wanapiga nyungu haya, wa chanjo twende kazi.
Halafu kuna nzige tunaowaona kwa macho, badala ya kusali tunamlaumu Rubani
Yaani Tz burudani tupu Teh teh teh teh
Hakuna ugomvi. Anayetaka vaccine anapata asiyetaka habughudhiwiWanatifuana sasa huko Europe kuhusu chanjo.
Hakuna ugomvi. Anayetaka vaccine anapata asiyetaka habughudhiwi
Kama Sala na nyungu zinaruhusiwa, hakuna ulazima wa mtu kushiriki, kwanini isiwe vaccine?
Bangi pia imetajwa kutoa manufaa makubwa kwa korona. Wanaotaka bangi wapewe fursa kama wale wa chanjo za majaribio.Wacha1 nadhani mabandiko hayo hapo juu yanaonyesha jinsi chanjo ilivyo lulu huko majuu
Wanotaka chanjo wapewe fursa kama ile ya wanamaombi na nyungu.
Chanjo iwe hiari kwa anayetaka
Hakuna anayepinga hilo, hata Ulaya chanjo ni hiari. Lakini huwezi kulazimisha kwamba huo ndio uwe mkakati wa Serikali kwa sababu lazima Serikali hiyo ijiridhishe kwamba raia wake hawadhuriki na chanjo ambayo haina viwango au haijaidhinishwa na mwongozo ambao imejiwekea.Wacha1 nadhani mabandiko hayo hapo juu yanaonyesha jinsi chanjo ilivyo lulu huko majuu
Wanotaka chanjo wapewe fursa kama ile ya wanamaombi na nyungu.
Chanjo iwe hiari kwa anayetaka
Rangi ya fonti unayotumia si rafiki kwa macho, hasa kwenye kurasa zenye usuli mweusi. Zikiwa kwenye nukuu, ndio kabisa shida kuzisoma. Sijui na kwa wengine iko hivyo pia?Hakuna anayepinga hilo, hata Ulaya chanjo ni hiari. Lakini huwezi kulazimisha kwamba huo ndio uwe mkakati wa Serikali kwa sababu lazima Serikali hiyo ijiridhishe kwamba raia wake hawadhuriki na chanjo ambayo haina viwango au haijaidhinishwa na mwongozo ambao imejiwekea.
Na serikali haiwezi kuthibitisha kwa maneno tu, wanapaswa kuomba sample na kuzifanyia analysis ili wakitoka na conclusion iwe ya kisayansi na facts . Kumbuka hapa tunaongelea sayansi na si siasa kwahiyo data ni muhimuHakuna anayepinga hilo, hata Ulaya chanjo ni hiari. Lakini huwezi kulazimisha kwamba huo ndio uwe mkakati wa Serikali kwa sababu lazima Serikali hiyo ijiridhishe kwamba raia wake hawadhuriki na chanjo ambayo haina viwango au haijaidhinishwa na mwongozo ambao imejiwekea.
Does this make a difference?Rangi ya fonti unayotumia si rafiki kwa macho, hasa kwenye kurasa zenye usuli mweusi. Zikiwa kwenye nukuu, ndio kabisa shida kuzisoma. Sijui na kwa wengine iko hivyo pia?
Na serikali haiwezi kuthibitisha kwa maneno tu, wanapaswa kuomba sample na kuzifanyia analysis ili wakitoka na conclusion iwe ya kisayansi na facts . Kumbuka hapa tunaongelea sayansi na si siasa kwahiyo data ni muhimu
Pili, kwanini tudhani vaccine si salama? Nani alithibitisha ile ya Madagascar
Nani amethibitisha usalama wa nyungu ambao ni 'variable' from one backyard to another!!!
Na mwisho, ili kujiridhirisha ni lazima kufanyike analysis. Je, tuna vifaa vya kubaini genome, kufanya gene sequencing etc.? Hata kama tuna mashine, bado zinatoka huko huko Ulaya, so contention ni ya nini?
South Africa walio mbele kitaalam zaidi yetu wanakubali pamoja na nchi SADC na EAC.
Unataka kusema hatuamini hata majirani na ndugu zetu! Ghana na Nigeria wakiwemo
Afadhali kiasi. Kwa watumiao "Night Mode" ile "Contrast" yake inakuwa ndogo, kwa vile usuli ni mweusi. Nimeangalia kwa kawaida (usuli mweupe) rangi zote unazotumia zaonekana uzuri. Jaribu kuweka "night-mode" utaona ni rangi zipi zafaa. Uko free in a free country to choose any font-color you like.Does this make a difference?