COVID 19 in Tanzania analysis and next steps

Kixembe,kuambukixana


👆👆👆👆 Lugha gani hii? wananchi mnisaidie
 
Huu n msimamo wa serikali na si wako. Mkuu Asante
 
Upuuz mtupu huu
 

Hivi vita vya kiuchumi ilibadilika lini kuwa gonjwa ambalo askari wa mstari wa mbele walikuwa wafanyakazi wa idara ya afya?

Kwenye bandiko lako mambo ya nyungu hayakuwa na nafasi kabisa au mgunduzi wake alikuwa bado hajapata maono husika?
 
Naona sasa hivi mbinu ni kuharakisha chanjo kwa watu ambao hata hawaoni umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya corona, Marekani huko hadi wanahamasishana kwa kupeana zawadi za bunduki kwa watakao dungwa chanjo na huko India nao pamoja na kuwa wanatengeneza hizo chanjo ila bado wanasuasua sasa sisi sijui ndio itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…