Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,474
- 105,032
Amakweli nimekubali, bora walimaharage kuliko walimwenguumecomment ki yakhe yakhe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Amakweli nimekubali, bora walimaharage kuliko walimwenguumecomment ki yakhe yakhe sana
Hamia Kenya ...Tanzania wametengeneza PPEs zaoThis is the pandemic
Umestate mawazo haya kama TZ ina first class facilities.
Kenya wameingiza Leo barakoa 500k, vipimo vya kutosha na upcoming days wanaingiza ventilators.
Sisi tuko wapi? Kama tunaelekea kwenye peak ndiyo tuwe hivi tulivyo Leo? Au tumejiandaa kuzika sana?
I Ought steps are here to be followed
Serikali imechagua kutofanya lockdown ni sehemu ya kulinda uchumi.Achana na curve, tupe mipango ya serikali yako. Mipango wezeshi kwa kuwa ushaur tulishatoa ni zamu yao kufanya uamuzi.
Kwan hata makanisa yalishauriwa na Leo kitima kakubali
Ujerumani na South Korea ni mifano mizuri.Jibi moja kwako ni kuwa hakuna nchi itakayoacha kipita kwenye hiyo curve ...hiyo curve ni sehemu ya principle ya mlipuko.hata kipindupindu kilipitia hiyo curve
Title iweke KISWAHILI tu mkuu inaeleweka
Mkuu mada kama hii tegemea kuungwa mkono na watu kama mgombea ubunge mtarajiwa 'manjaa.'
Wanaofika kwenye kilele cha curve hawafiki kwa maombi. Ni kwa kazi kubwa, maumivu na kujitoa sadaka.
Jaribu kujifananisha na hawa hawajakwenda kwenye maombi (hata mara moja) kwa ajili ya hii kitu, wako vizuri, hajafa mtu hata mmoja, wamepona wengi zaidi kuliko sisi, wana wagonjwa wachache kuliko sisi na wana kasi ndogo mno ya maambukizi (hata kuliko ya wanaopona).
Sasa wanaenda 45 days za total lockdown:
View attachment 1422159
Wana kasi ndogo ya maambukizi??
Ulifuatilia data za hadi juzi sisi tulikuwa na wangapi na wao walikuwa na wangapi ??
Umelinganisha idadi ya wagonjwa vs population
View attachment 1422160View attachment 1422161View attachment 1422162
Mkuu tafiti zako unafanyia Lumumba?
Ukweli mchungu, hapa tumelikoroga ni lazima tu tubadilike na tuifuate njia sahihi ambayo iko wazi mno.
Wana-reopen baada ya kukata mnyororo wa maambukizi. Maafa yao yote ya sasa, wanasema ni maambukizi kabla ya lockdown. Wiki 2 zijazo, maambukizi na vifo vitaanza kupungua kwa kiasi kikubwa.Serikali imechagua kutofanya lockdown ni sehemu ya kulinda uchumi.
Marekani ilifanya lockdown ya kiaina na jana wameanza ku-reopen
Mkakati iliyopo Tanzania ni madhubuti sana,approach yetu ni strategic na scientific watu wengi na hata nchi za jirani wanategemea wamuone kila siku Rais wetu akitangaza kila hatua inayochukuliwa
Wanasahau kuwa kuna kamati tatu ziko kazini Saa 24 tena ni technical team .Rais amesimama katika nafasi yake kama alama ya umoja wetu,huku akiwa ametoa maelekezo yote ya mapambano
Wanasema ukitaka usipitie curve unayoisema kuna njia mbili. Moja unazuia maambukizi kwa kuzuia ugonjwa kuingia au partial lockdown ya eneo maambukizi yalikoingia. Pili unafanya full lockdown angalao ya wiki 3. Kwa kufanya hivyo utakata mnyororo wa maambukizi. Katika kipindi cha wiki 3, utapata idadi ya ambao tayari wameambukizwa maana incubation ni kati ya siku 2 hadi 14; average ni siku 5. Hivyo katika kipindi cha wiki 3, wakati ukiwa umezuia maambukizi kwa lockdown, utawatambua wale wote ambao kabla ya lockdown walikuwa wameambukizwa. Baada ya wiki 3, utaanza kupata maambukizi machache sana ambayo, ina maana, yametokea wakati wa lockdown.South Korea



nchi yangu jamani huo muda mngepulizia dawa kila kona ya mji ingesaidia kuliko upumbavu mnaofanya Hamia Kenya ...Tanzania wametengeneza PPEs zao
Wanasema ukitaka usipitie curve unayoisema kuna njia mbili. Moja unazuia maambukizi kwa kuzuia ugonjwa kuingia au partial lockdown ya eneo maambukizi yalikoingia. Pili unafanya full lockdown angalao ya wiki 3. Kwa kufanya hivyo utakata mnyororo wa maambukizi. Katika kipindi cha wiki 3, utapata idadi ya ambao tayari wameambukizwa maana incubation ni kati ya siku 2 hadi 14; average ni siku 5. Hivyo katika kipindi cha wiki 3, wakati ukiwa umezuia maambukizi kwa lockdown, utawatambua wale wote ambao kabla ya lockdown walikuwa wameambukizwa. Baada ya wiki 3, utaanza kupata maambukizi machache sana ambayo, ina maana, yametokea wakati wa lockdown.
Sisi hayo yote mawili hatujafanya, tutaukata vipi mnyororo wa maambukizi?
Swali Muhimu Cases za Tanzania zina link na zile za imported??Wana-reopen baada ya kukata mnyororo wa maambukizi. Maafa yao yote ya sasa, wanasema ni maambukizi kabla ya lockdown. Wiki 2 zijazo, maambukizi na vifo vitaanza kupungua kwa kiasi kikubwa.
Ufuatiliaji wa new cases na waliokuwa karibu naye ni key...Lockdown for a purpose.Wanasema ukitaka usipitie curve unayoisema kuna njia mbili. Moja unazuia maambukizi kwa kuzuia ugonjwa kuingia au partial lockdown ya eneo maambukizi yalikoingia. Pili unafanya full lockdown angalao ya wiki 3. Kwa kufanya hivyo utakata mnyororo wa maambukizi. Katika kipindi cha wiki 3, utapata idadi ya ambao tayari wameambukizwa maana incubation ni kati ya siku 2 hadi 14; average ni siku 5. Hivyo katika kipindi cha wiki 3, wakati ukiwa umezuia maambukizi kwa lockdown, utawatambua wale wote ambao kabla ya lockdown walikuwa wameambukizwa. Baada ya wiki 3, utaanza kupata maambukizi machache sana ambayo, ina maana, yametokea wakati wa lockdown.
Sisi hayo yote mawili hatujafanya, tutaukata vipi mnyororo wa maambukizi?
Itaanza kutengeneza ventilators lini? na corona itakuwa inasubiri zitengenezwe?Unataka kila kitu utangaziwe vimeagizwa vipangapi?
Umeambiwa kuna upungufu wa vipimo?
Kuhusu Ventilators husikia habari kuwa Tz itaanza kutengeneza huko Arusha?
Time will tell.
Huu wakati wale wasiounga mkono juhudi wawe makini, unaweza ukashughulikiwa wakakujumlisha kwenye idadi ya wahanga wa corona 😳