Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Kixembe,kuambukixanaUjinga mtupu hapo umeandika. Wagonjwa wameongezeka kutoka idadi ya mtu mmoja hadi leo kufikia147 halafu unaandika upupu hapa kuwa eti tumejipanga vizur. Kweli wew jinga lao kama jina lako lilivyo. Tena hapo idadi hiyo inaweza ikawa imechakachuliwa.
Waziri wa Afya amesema utafiti unaonesha ugonjwa unaambukizwa hata kwa njia ya hewa, bado mnaruhusu mikusanyiko ktk Ibada eti mkaombee nchi ninyi kweli mnazo kichwani ? Yaani hata Kinjekitile Ngwale alikuwa na Akiri kuliko nyumbu ninyi.
Endeleeni kuambukixana huko ktk nyumba zenu za ibada mfe kixembe tuu ujinga ni mzigo. Mimi ni muumini mzuri sana lakini sidanganywi kizembe hivi. Maandiko yanasema Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
👆👆👆👆 Lugha gani hii? wananchi mnisaidie