Naunga mkono hojaNiwasalimu wadau wa Jf!
Nirudie tena kwa kusema kuwa Tanzania pamoja na umasikini wake ilijiandaa vyema katika kukabiliana na majanga .maandalizi makubwa na yanayoendana na umasikini wetu ni katika well coordination ya kukabili majanga.
coordination is the key and the best way to achieve katika mapambano.
Mapambano dhidi ya COVID 19 ni mapambano ya kijeshi na askari muhimu ni kada ya afya.Hadi sasa these health workers soldiers have done their job intellectually na nguvu za Mola watatuvusha salama.
Hadi sasa viongozi wa siasa hawajataharuki...kwa kuwa jeshi kamili la Afya halijataharuki na linafanya kazi kiweledi kitu ambacho kinawapooza wanasiasa na jamii.
Kimsingi mlipuko huu wa COVID 19 unafuata kanuni/hatua za kawaida za milipuko yaani epidemic curve...ninamaanisha mwanzo -kilele -na kishuka.
Nimefiatilia kwa karibu mwenendo wa mlipuko huu nchini Tanzania na pia nimefuatilia mbinu za makabiliano zilizofanyika.
Uchunguzi wangu umeonesha kuwa kama Taifa tulijipanga...kwa kuwa case ya kwanza ilikuwa handled vizuri sana.
control ya mlipuko katika jiji la Dar es salaamu hapo awali ilikuwa laini ingawa baada ya cases kuongezeka walijitambua na kuufata mpango kazi maalumu wa kupambana na majanga.
Kwa sasa tupo ama tunaelekea kwenye kilele cha mlipuko(peak)
Tutegemee next week/2 weeks kuwa na spike ya cases ..hii haisharii uzembe bali natural course ya epidemic .tutegemee vifo kadhaa pia kama sehemu ya peak of this curve.
baada ya hapo tutaingia kwenye control phase as it happens in many nations..kwa sasa.
Maoni yangu kwa sasa ni kuwa DAR iongeze udhibiti kwa kuwa imeshajitambua.
Tanga ,Pwani Zanzibar na Mwanza stay solid!!
Mikoa mingine isimame kama ilivyokuwa imejidhatiti..wasikate tamaa.
After next two weeks tutaanza kuingia kwenye (recovery phase) kama dunia.
Maombi yanafanya kazi.
Ukiona Kiongozi wetu anataka maombi ...ujue tayari wataalamu wa afya na milipuko wameshampa taarifa za kipekee.
TANZANIA ITAUSHANGAZA ULIMWENGU KATIKA VITA YA COVID 19.
Tuendelee kushirikiana.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Talk about next month or 5 to 7 weeks and not 2 weeks fellowNaunga mkono hoja
P
Mkakati iliyopo Tanzania ni madhubuti sana,approach yetu ni strategic na scientific watu wengi na hata nchi za jirani wanategemea wamuone kila siku Rais wetu akitangaza kila hatua inayochukuliwaNiwasalimu wadau wa Jf!
Nirudie tena kwa kusema kuwa Tanzania pamoja na umasikini wake ilijiandaa vyema katika kukabiliana na majanga .maandalizi makubwa na yanayoendana na umasikini wetu ni katika well coordination ya kukabili majanga.
coordination is the key and the best way to achieve katika mapambano.
Mapambano dhidi ya COVID 19 ni mapambano ya kijeshi na askari muhimu ni kada ya afya.Hadi sasa these health workers soldiers have done their job intellectually na nguvu za Mola watatuvusha salama.
Hadi sasa viongozi wa siasa hawajataharuki...kwa kuwa jeshi kamili la Afya halijataharuki na linafanya kazi kiweledi kitu ambacho kinawapooza wanasiasa na jamii.
Kimsingi mlipuko huu wa COVID 19 unafuata kanuni/hatua za kawaida za milipuko yaani epidemic curve...ninamaanisha mwanzo -kilele -na kishuka.
Nimefiatilia kwa karibu mwenendo wa mlipuko huu nchini Tanzania na pia nimefuatilia mbinu za makabiliano zilizofanyika.
Uchunguzi wangu umeonesha kuwa kama Taifa tulijipanga...kwa kuwa case ya kwanza ilikuwa handled vizuri sana.
control ya mlipuko katika jiji la Dar es salaamu hapo awali ilikuwa laini ingawa baada ya cases kuongezeka walijitambua na kuufata mpango kazi maalumu wa kupambana na majanga.
Kwa sasa tupo ama tunaelekea kwenye kilele cha mlipuko(peak)
Tutegemee next week/2 weeks kuwa na spike ya cases ..hii haisharii uzembe bali natural course ya epidemic .tutegemee vifo kadhaa pia kama sehemu ya peak of this curve.
baada ya hapo tutaingia kwenye control phase as it happens in many nations..kwa sasa.
Maoni yangu kwa sasa ni kuwa DAR iongeze udhibiti kwa kuwa imeshajitambua.
Mikoa mingine isimame kama ilivyokuwa imejidhatiti..wasikate tamaa.
After next two weeks tutaanza kuingia kwenye (recovery phase) kama dunia.
Maombi yanafanya kazi.
Ukiona Kiongozi wetu anataka maombi ...ujue tayari wataalamu wa afya na milipuko wameshampa taarifa za kipekee.
TANZANIA ITAUSHANGAZA ULIMWENGU KATIKA VITA YA COVID 19.
Tuendelee kushirikiana.
Kenya ni wazee wa copy n paste ...Tanzania ni real dealThis is the pandemic
Umestate mawazo haya kama TZ ina first class facilities.
Kenya wameingiza Leo barakoa 500k, vipimo vya kutosha na upcoming days wanaingiza ventilators.
Sisi tuko wapi? Kama tunaelekea kwenye peak ndiyo tuwe hivi tulivyo Leo? Au tumejiandaa kuzika sana?
I Ought steps are here to be followed
Nguvu za Mungu huanzia pale nguvu zetu zinapoishia!Hapo ulipomalizia ukiona kiongozi anataka maombi ujue tayari keshapewa taarifa nzuri kuhusu ugonjwa ndio umenimaliza kabisa.
Kwangu mimi kumgeukia Mungu kwa jambo lolote lile ni dalili ya kwanza ya mtu aliekata tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
This is the pandemic