Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,256
- 2,862
Muda ule Rais Obama yuko kwenye tafrija, je Osama bin laden alikuwa wapi na anafanya nini? Natamani kujua.
Mbona thread hii imekuwa ngumu sana kufunguka, tangu jana najaribu kufunguabpage 233 ambayo nafikiri ina sehemu ya nne inashindwa kufunguka. Msaada tafathari nashindwa kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
chief usihukumu bado hatujajua undani wa io ishuI got this bastard Raymond Allen
Nimeona nihukumu tu,Jamaa anachelewesha story
amesema kesho mchana ataweka......tuwe na subra tu. Ila nataraji ataimalizia mpaka mwishoNimeona nihukumu tu,Jamaa anachelewesha story
UHANDISI
Mantiki yako iko wapi MzibaIngawa unalekea kua mwandishi mzuri baadhi ya maelezo yako Kuhusu James Angleton CIA officer 1954-1974 au 75 sio sahihi na mfano wako unaompimanisha Abu Omar (Fugitive extremist) na Sheikh Ponda (Social Justice Advocate), unampoteza msomaji na kumpandia mbegu ya fitna Mtanzania mwenzetu. It is a known as a faulty comparison. Nitaanza na James Angleton na kisha kuonyesha dalili ya false comparison Kati ya Abu Omar na Sheikh Ponda.
Ingawa huandiki source zako, umemsifia kwa kiasi jasusi wa CIA James Jesus Angleton. Lakini, inashangaza kwanini hajaandika kitabu Kama manguli wengine.
Ukweli ni kwamba kulingana na rekodi zilizo public (Yani sio classified). James alifukuzwa kazi (fired)