Course

Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
Habari za kazi watanzania wenzangu.

Naombeni mishauri kuhusu course inayofaa kumpeleka mdogo wangu mara baada ya kumaliza form four ikitokea matokeo yakiwa sio mazuri

Aksanteni
 
Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,091
1,368
kama matokeo yake yatakua mabaya itabidi akae nyumban kwan akuna course inataka m2 aliye feli(failure), be positive bro!!
 
HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,126
3,735
huyo dogo ikitokea amefeli basi mpeleke ualimu maana ndo anaweza kutoka ila ukimpeleka sehemu zingine naamini basi ishu zitakuwa hizo hizo kufeli.......ila jitahidi kumuhimiza kuwa kusoma na kuelewa ni njia nyepesi ya kufahuru kuliko msaada huu unaotaka kuufanya wa kusikilizia mpaka adunde ndo uuonyeshe.
 
Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
kama matokeo yake yatakua mabaya itabidi akae nyumban kwan akuna course inataka m2 aliye feli(failure), be positive bro!!

Heshima kwenu,pia naheshimu mawazo yenu,labda sikueleweka vizuri hapo awali ninachomanisha ni kwamba ili mwanafunzi aweze kuendelea na kidato cha tano ni lazima angalau awe na alama tatu za daraja c,mtu wa namna hii huhesabika kuwa anasifa za kuendelea na masomo ya A level na hatimae kujiunga na elimu ya chuo kikuu,lakini mtu huyu anawza kupata alama D ambazo kwa mjibu wa baraza la mitihani la taifa siyo failure ni pass lakini hawezi kuendelea na masomo ya A level sasa kwa mtu wa namna hii nilihitaji ushauri zaidi.

Binafsi sio kwamba sifahamu hakuna kozi anazoweza kwenda ila nilikuwa nahitaji mawazo yenu pia sasa naona badala ya kunishauri kwa ufanisi zaidi mna ni limit kivingine so pl advice since I have faith in you.

Thanks
 
HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,126
3,735
Kaka sasa hapo umeeleweka,ikitokea hivyo basi akasome certificate ya banking and finance kama yupo dar ipo IFM pale nadhani itamfaa.
 
Lepapalongo

Member
Jan 28, 2009
92
11
huyo dogo ikitokea amefeli basi mpeleke ualimu maana ndo anaweza kutoka ila ukimpeleka sehemu zingine naamini basi ishu zitakuwa hizo hizo kufeli.......ila jitahidi kumuhimiza kuwa kusoma na kuelewa ni njia nyepesi ya kufahuru kuliko msaada huu unaotaka kuufanya wa kusikilizia mpaka adunde ndo uuonyeshe.

Ualimu siyo kimbilio la waliofeli atafundisha nini huko?
 
saadmad

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
518
196
teh teh teh teh teh teh ebwana kunawatu wana nyungunyungu ama funza kichwani maana wewe mwenyewe hujielewi unataka kumuelewesha mtu! lolz!
 
Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,901
3,090
Ualimu siyo kimbilio la waliofeli atafundisha nini huko?

hapana, kwa Tanzania hii, ualimu ni kimbilio la waliofeli. Angalia idadi ya walioomba Ed TCU, wengi wana div 3! Wanaogopa kukosa chuo au mikopo. Wanaona bora wajaze tu.
 
HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,126
3,735
hapana, kwa Tanzania hii, ualimu ni kimbilio la waliofeli. Angalia idadi ya walioomba Ed TCU, wengi wana div 3! Wanaogopa kukosa chuo au mikopo. Wanaona bora wajaze tu.

Tatizo la watu wengine huwa wanapenda kutetea matatizo sasa kitu kipo wazi kabisa anachobisha ni nini maana mpaka serikali inatambua hili na imesema kwa 4m4 ukipata div 4.28 ruksa kuapply ualimu au ndo ile D ni pass...ifike wakati tukubaliane na hali kuwa ualimu Tanzania unataka watu walio feli wakafundishe wadogo zetu period.
 
Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
117
kundi la walimu lipo kwenye Gold gifted according to plato! napinga kimbilio la waliofeli sio ualimu, nimesomeka vizuri ?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom