Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 795
Habari wadogo zangu Kwa wale waliomaliza mwaka huu waliosoma PCB &PCM naomba niwaelezee course ambazo zinahuitaji mkubwa sana Kwa upande wa afya serikalini Mimi ni mtumishi wa afya nitakushauri usome hii kama unahuhitaji wa ajira wa haraka serikalini au private.
1.physiotherapist
2.Radiology
3.Biomedical engineering
4.DDS
5.Clinical Nutritional(muundo mpya chini ya MCT bado)
6.Audiometry(muundo bado)
7.Clinical psychology(Muundo bado)
8.Occupational therapy
9.Optometrist
10.Public Health(Degree Haina muundo)
11. Psychiatric degre.(muundo mpya haujauhishwa)
12.Anaesthesia.
13.Health record
Hizi course Zina uhaba mkubwa sana serikalini japo wanaosoma waelewe nyingi hazijawa na muundo mpya wa mshahara serikalin
Hizi course Zina uhaba mkubwa wa watumishi serikalini japo changamoto yake kuna baadhi bado hazijawa na muundo na hazijawekewa mishahara tutarajie hivi karibuni.
Course nyingine ambazo bado zinahuitaji japo watu wanaongelea kwamba mtaani wako wengi lakini bado wanahitajika Kwa wingi.
1.Nursing
2.Medical Doctor
3.phamacy.
4.medical laboratory.
Kuna watoto wanakimbilia kusoma Hizi course wakitegemea kwamba ni coourse za afya nawashauri wajiandae kisaikolojia Hizi course sio za afya .
1.Bachelor of science laboratory and technology
2.Molecular biology
3.Microbiology
4.Medical physics.
5.laboratory science
6.Fodd science
Hazina muundo wa mshahara katika sekta ya afya.
HITIMISHO NAOMBENI MUWASHAURI WADOGO ZENU WASOME COURSE ZENYE MIUNDO YA UTUMISHI KAMA WANA MPANGO WA KUAJIRIWA MAPEMA.