papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 501
Ajira isikuumize kichwa!
Ada kama sijakosea ni laki tisa ila kuna support from HESLB.
Nashukuru mkuu, supports ya HESLB ni ktk mahitaji yepi
Unapewa fedha za kujikimu na ada unalipiwa kulingana na asilimia za support, kama ni 100% unalipiwa ada yote
Loan board wametoa mpaka mwaka huu mwezi wa tatu, tena 100 % zilikuwa kibao! Labda kama wamesitisha juziHii kozi sidhani kama ila mkopo wa loan board, hebu confirm na bodi kwanza.
Hiyo kozi ni ya ualimunwa sekondari, zamani tulikuwa tunaziita combi vipisi, na ukitoka hapo ukifanya vizuri unaweza kuapply chuo kwenda kusoma degree, ni njia ndefu, maana ni miaka 3, lakini rahisi tofauti na kwenda full combi.
Hii ni kwamba form four leaver unaenda kusomea diploma ya ualimu wa masomo ya sayansi kwaajili ya kufundisha sekondari form one mpaka form four ila utasomea kwa miaka 3 kwasababu hukufika advance na inatolewa kwenye vyuo vya serikali tu vilivyoteuliwa.Naomba mwenye kuelewa course hii anifahamishe utaratibu wake chuoni na malipo yake na baada ya kumaliza mafunzo hayao unakuwa mwalimu wa shule zipi za msingi au sekondari, na vipi ugumu au urahisi wa ajira pia na upatikanaji wa degree unapo maliza stashahada,
VP boom wanapata???Hii ni kwamba form four leaver unaenda kusomea diploma ya ualimu wa masomo ya sayansi kwaajili ya kufundisha sekondari form one mpaka form four ila utasomea kwa miaka 3 kwasababu hukufika advance na inatolewa kwenye vyuo vya serikali tu vilivyoteuliwa.
Write your reply...umechaguliw chuo gn asee
Hakuna pesa kutoka bodi, bodi inatoa pesa kwa shahada tu,
Nyie mnataka kuwa kama wale wa udom, sema tu mmesambazwa kwenye vyuo vya kati, kusomea ualimu
Kiufupi tu, hakuna boom, mnasoma tu bure, mnapikiwa chakula chuoni mnakula kama vile form six, sema tu mnapewa uhuru wa kutumia simu,
Kaa ukijua utakuja kufanya mtihan wa six, wa hayo masomo unayosomea kufundisha,
Kuhusu ajira ni uhakika pindi zinapotangazwa, kwan serikali inawahitaji walimu wa sayansa, hasa nyie diploma, kwa hata ulipaji wenu wa mishahara ni rahisi kulinganisha na shahada,
Unaweza tafuta wenzako, wengi sana wamemaliza mwaka huu, wakakupa updates nyingine, hasa kwa waliomalizia chuo ulichopangiwa
Utaakuwa mwalimu wa kemia
Then utakuwa Raisi
ooh OK nilizn n butmba ningekup info zaid ila tukuyu spo n experience nkoTukuyu teachers college Rungwe, mkuu
ooh OK nilizn n butmba ningekup info zaid ila tukuyu spo n experience nko
Mimi hapa nimechaguliwa hapo butimba mkuuooh OK nilizn n butmba ningekup info zaid ila tukuyu spo n experience nko
HATA KAMA ULISOMA FORM 6 UNAWEZA CHUKUA HII DIPLOMA.Hakuna pesa kutoka bodi, bodi inatoa pesa kwa shahada tu,