Je, naweza kusoma degree ya kemia nikiwa nina Diploma Maalum ya Ualimu wa Sekondari (Kemia na Baiolojia)?

moodchapter

Member
Jun 28, 2020
18
5
Nimesoma diploma maalum ya ualimu wa sekondari(kemia na baiolojia) miaka mitatu ila nimemaliza nahitaji kujiendeleza nje ya ualimu nisomee degree ya kemia- je inawezekana?
 
Je! Kuna mkopo kwenye Stashahada ya maalum ya sekondari? Mimi nahitaji kujiunga chuo Cha Butimba.
 
Back
Top Bottom