Course ya stashahada maalum ya ualimu wa sayansi (kemia,hisabati)

papaayenga

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
745
500
Naomba mwenye kuelewa course hii anifahamishe utaratibu wake chuoni na malipo yake na baada ya kumaliza mafunzo hayao unakuwa mwalimu wa shule zipi za msingi au sekondari, na vipi ugumu au urahisi wa ajira pia na upatikanaji wa degree unapo maliza stashahada,
 
Masasaa

JF-Expert Member
Oct 23, 2015
464
500
Hii kozi sidhani kama ila mkopo wa loan board, hebu confirm na bodi kwanza.
Hiyo kozi ni ya ualimunwa sekondari, zamani tulikuwa tunaziita combi vipisi, na ukitoka hapo ukifanya vizuri unaweza kuapply chuo kwenda kusoma degree, ni njia ndefu, maana ni miaka 3, lakini rahisi tofauti na kwenda full combi.
 
Chacho Haulage

JF-Expert Member
Aug 25, 2017
204
250
Hii kozi sidhani kama ila mkopo wa loan board, hebu confirm na bodi kwanza.
Hiyo kozi ni ya ualimunwa sekondari, zamani tulikuwa tunaziita combi vipisi, na ukitoka hapo ukifanya vizuri unaweza kuapply chuo kwenda kusoma degree, ni njia ndefu, maana ni miaka 3, lakini rahisi tofauti na kwenda full combi.
Loan board wametoa mpaka mwaka huu mwezi wa tatu, tena 100 % zilikuwa kibao! Labda kama wamesitisha juzi
 
kacherema

Senior Member
Oct 3, 2017
106
225
Naomba mwenye kuelewa course hii anifahamishe utaratibu wake chuoni na malipo yake na baada ya kumaliza mafunzo hayao unakuwa mwalimu wa shule zipi za msingi au sekondari, na vipi ugumu au urahisi wa ajira pia na upatikanaji wa degree unapo maliza stashahada,
Hii ni kwamba form four leaver unaenda kusomea diploma ya ualimu wa masomo ya sayansi kwaajili ya kufundisha sekondari form one mpaka form four ila utasomea kwa miaka 3 kwasababu hukufika advance na inatolewa kwenye vyuo vya serikali tu vilivyoteuliwa.
 
Truth Teller

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
1,246
2,000
Hii ni kwamba form four leaver unaenda kusomea diploma ya ualimu wa masomo ya sayansi kwaajili ya kufundisha sekondari form one mpaka form four ila utasomea kwa miaka 3 kwasababu hukufika advance na inatolewa kwenye vyuo vya serikali tu vilivyoteuliwa.
VP boom wanapata???
 
Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
6,493
2,000
Hakuna pesa kutoka bodi, bodi inatoa pesa kwa shahada tu,

Nyie mnataka kuwa kama wale wa udom, sema tu mmesambazwa kwenye vyuo vya kati, kusomea ualimu

Kiufupi tu, hakuna boom, mnasoma tu bure, mnapikiwa chakula chuoni mnakula kama vile form six, sema tu mnapewa uhuru wa kutumia simu,

Kaa ukijua utakuja kufanya mtihan wa six, wa hayo masomo unayosomea kufundisha,

Kuhusu ajira ni uhakika pindi zinapotangazwa, kwan serikali inawahitaji walimu wa sayansa, hasa nyie diploma, kwa hata ulipaji wenu wa mishahara ni rahisi kulinganisha na shahada,

Unaweza tafuta wenzako, wengi sana wamemaliza mwaka huu, wakakupa updates nyingine, hasa kwa waliomalizia chuo ulichopangiwa
 
Sawa mkuu ndio maana nikaleta uzi huu humu kama yupo alie wahi pitia huko anipe update, hiyo ya kufanya mtihani wa six haina shida kabisa, la muhimu nilikuwa nataka kujuwa gharama ni jiaandae, c unafahamu vyuma vilivyo kamata,
 
mosabiy

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,505
2,000
Hakuna pesa kutoka bodi, bodi inatoa pesa kwa shahada tu,
Nyie mnataka kuwa kama wale wa udom, sema tu mmesambazwa kwenye vyuo vya kati, kusomea ualimu
Kiufupi tu, hakuna boom, mnasoma tu bure, mnapikiwa chakula chuoni mnakula kama vile form six, sema tu mnapewa uhuru wa kutumia simu,
Kaa ukijua utakuja kufanya mtihan wa six, wa hayo masomo unayosomea kufundisha,
Kuhusu ajira ni uhakika pindi zinapotangazwa, kwan serikali inawahitaji walimu wa sayansa, hasa nyie diploma, kwa hata ulipaji wenu wa mishahara ni rahisi kulinganisha na shahada,
Unaweza tafuta wenzako, wengi sana wamemaliza mwaka huu, wakakupa updates nyingine, hasa kwa waliomalizia chuo ulichopangiwa
HATA KAMA ULISOMA FORM 6 UNAWEZA CHUKUA HII DIPLOMA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom