Couples za JF ni hizi...!

Nshakua mkuu Rejao, au hadi............?????
Usijali, utampata tu! tatizo mi ninao wengi...as long as dini inaruhusu...utakubali kuwa wanne? cuz watatu wapo hapa tayari!!
 
Ahsante saana Sheikh Yahya wetu mpya! naomba nami nitabirie kama wakwngu yumo humu kunako jf.
 
kha!! Nakupa hutaki!! Afu bado unalalamika ooh! Mi sijapata!!eeh sema unamtaka yupi!!

Umeongea kwa kali mpenzi hadi nkaogopa kuchagua, basi mi sitaki kuwa na couple humu!!!
Thanx for your concern by the way.

 
umeongea kwa kali mpenzi hadi nkaogopa kuchagua, basi mi sitaki kuwa na couple humu!!!thanx for your concern by the way.
sio mm ni hii keybord yangu mpenzi!! No!! Lazima upate !! Acha nikuperuzie!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…