Couples za JF ni hizi...!

Heeh! Kumbe mnapenda twende baa eeeh? Haya Chripin, Geoff, Bigirita, Fidel, Masanilo, the bar is now open.
Sijui ndo wamegundua ndo tunapopatiaga maakili na ma-appetite lakini tunakwenda kula home??
 
Lets go pal! Mbio..........!

Wamepata ya kusema si umeonae?

Elizaaaaa!!! Leta chui baridi kama barafu afu niitie mtu wa jikoni kabisa.
 
shosti craving for makande hahaaaa!!! utayatoa wapi sasa??? hahaaaaa lol pole!!!

Leo uje kwetu basi, Bala alikuwa anaumwa hata hujaja kumwona, but he is much better now!!!

@Masaki the responce you have been longing for..........
 
Hapo kwenye red, hizo ni habari njema sana kuzipata. Hasa kwa siku nzuri kama ya leo! Yaani leo tangu asubuhi mambo yangu yanakwenda vizuri vizuri!

bht unanidai kinywaji kwa hilo...............!!!
 
nani kasema???

Majirani zangu!

mwanafunzi anakuweza mzidi mwalimu

Mbona umenishupalia sana nawee?

Bao la golini na mpira wa ngozi. Satisfied?

hasira ya nini tena??? hela hamna?? leo ntakununulia biggy twende....

Mimi sitakiwi kwenda bar niko kwenye Alchohol Rehab Centre!

eeeeh wamekusaidia zaidi...
 
Lets go pal! Mbio..........!

Wamepata ya kusema si umeonae?

Elizaaaaa!!! Leta chui baridi kama barafu afu niitie mtu wa jikoni kabisa.

Hapo kwenye red itifaki imezingatiwa. Mwambie alete jembe na ndizi mzuzu za kuiva za kutosha!
 
Sijui ndo wamegundua ndo tunapopatiaga maakili na ma-appetite lakini tunakwenda kula home??
Najaribu kuimajine bila alkoholi kwa brain ningefikaje hapa nilipo! Thanks my dear Alcohol!
 
Hapo kwenye red, hizo ni habari njema sana kuzipata. Hasa kwa siku nzuri kama ya leo! Yaani leo tangu asubuhi mambo yangu yanakwenda vizuri vizuri!

bht unanidai kinywaji kwa hilo...............!!!

no icecream of my choice will do!!!!
 
Najaribu kuimajine bila alkoholi kwa brain ningefikaje hapa nilipo! Thanks my dear Alcohol!

I can see, leo ijumaa kuu na hujaenda njia ya msalaba kwa sababu hiyo hiyo.

tehe tehe tehe
 
Hapo kwenye red itifaki imezingatiwa. Mwambie alete jembe na ndizi mzuzu za kuiva za kutosha!
Unaonaje tukianza na kongoro ili kuustua ubongo kuwa kuna zawadi inakuja?
 
I can see, leo ijumaa kuu na hujaenda njia ya msalaba kwa sababu hiyo hiyo.

tehe tehe tehe

mseminari leo ni ijumaa kuu??? (kweli sijui nipo serious na swali langu)
 
no icecream of my choice will do!!!!
Azamu hebu fanya ze needful pale kwa yule binti!! na upeleke mwenyewe, usitume mtu
Peleka lory halafu leta ankara hapa.
 
shosti craving for makande hahaaaa!!! utayatoa wapi sasa??? hahaaaaa lol pole!!!

Leo uje kwetu basi, Bala alikuwa anaumwa hata hujaja kumwona, but he is much better now!!!

@Masaki the responce you have been longing for..........

bht wewe ni geneous!!

Unanidai ice cream.........!!!
 
I can see, leo ijumaa kuu na hujaenda njia ya msalaba kwa sababu hiyo hiyo.

tehe tehe tehe
Si unaona? Nilifikiri niko peke yangu.

Twende tuwahi kaunta mpiganaji. Huchelewi kusema leo ni Pasaka!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…