Ha ha ha, watu wanataka JF ibadilike kuwa Facebook, mahali ambapo kila kitu ni kupeana sifa.
Halafu kuna watu wako so insecure na mapenzi yao, muda wote ukiongea hata kama huwaongei wao basi wanadhani umewasema wao.
Ukishaamua kuuweka uhusiano wako wazi, jipange kukutana na sifa au critics, na ni bora upate critics za ukweli zinaweza kukusaidia ukabadilika kuliko upewe sifa za kinafiki.