Usiwaze sister. Second year now, hope atamaliza mwakani kama ataweza kuhimili mishale ya Supp na Disco. Hahaha, 2019 mambo yakienda vema vitu vingine vitafata.
Yani ndugu yangu Daby pamoja na u hendsome na pesa zako nyingi ila CV limeshaingia matope .
Ha ha ah yani wadada wote at last wameshaelewa japo ni too late umeshawapiga wengi ila at last wameelewa somo.
Bora wakukimbie tu sa hivi wasije wakatuulia ndugu yetu.
Ha ha ha ! Ndio maana jamaa wamegoma kuhongwa.
Wanasema jukwaa litajaa thread za wadada wakilia lia.
Hapa namtafuta mod mwenye njaa ambaye hajui kinachoendelea jukwaa la mahusiano na chit chat.
Ha ha ha ! Ndio maana jamaa wamegoma kuhongwa.
Wanasema jukwaa litajaa thread za wadada wakilia lia.
Hapa namtafuta mod mwenye njaa ambaye hajui kinachoendelea jukwaa la mahusiano na chit chat.