Country Music

Country Music

[emoji3][emoji3][emoji3] singeli ni sawa na hard rock music ukienda kwa wazungu sijawi elewa wanaimbaga manini yale zaidi ya kelele tu
Shindwa kule kuna organism znaimba fry cords,,, ukiwa huna mazoezi ukiimba unaunguza koo na ni moja ya industry yenye drummers wazuri, sound engineers, guitarists hasa electrical na tecno djs wazuri
 
Man you are mean. Usipokuwa tajiri huwezi elewa you have to feel it with your heart experience it and have passion.

Baki unasikiliza tu singeli🤣
🤣
Siskilizi opera wala singeli sasa sijui nakaa wapi... ila opera kiboko sema labda kwamba nisikilize na heart na sio masikio mayb will do a trick

Muimbaji ajaribu ku touch my soul😂
 
Siskilizi opera wala singeli sasa sijui nakaa wapi... ila opera kiboko sema labda kwamba nisikilize na heart na sio masikio mayb will do a trick

Muimbaji ajaribu ku touch my soul😂

Jaribu kutulia ukiwa huna mawazo sikiliza acha kuwaza vitu vingine. Sikiliza hii piece matata sana

Kama hujaelewa na hii jumapili wahi mafuta ya mwamposa labda atakufungua moyp 🤣
 
Mwalimu yeyote wa muziki,, lazima aanze na huu muziki,, bila huu muziki asingekuwa na miziki mingine,,,

Wanamuona Witney Houston kama mwimbaji aliyeimba note za juu,, huku kwenye classic ni mchumba tu
Hapa pamejaa madini tu. Big up. .
 
Jaribu kutulia ukiwa huna mawazo sikiliza acha kuwaza vitu vingine. Sikiliza hii piece matata sana

Kama hujaelewa na hii jumapili wahi mafuta ya mwamposa labda atakufungua moyp [emoji1787]

Hahahah au sio, ntasikiliza baadae tena huu usiku kimya
 
😀😀😀 singeli ni sawa na hard rock music ukienda kwa wazungu sijawi elewa wanaimbaga manini yale zaidi ya kelele tu
Rock and roll hazikuwa zote za kelele
Kuna hawa jamaa Beatles nina santuri zao. Baadhi ya music ilikuwa very soft japo walikuwa wanaimba rock and roll; labda nyimbo zao zote hazikuwa rock and roll or who knows. Huu mziki sijajaribu kuufatilia umenipita mbali kidogo. .

Ila sikiliza beatles So Happy Together. .
 
tafta hard rock usikilize zilivyo. Kuna rock za kistaarab kama na hizo hardrock
 
Rock and roll hazikuwa zote za kelele
Kuna hawa jamaa Beatles nina santuri zao. Baadhi ya music ilikuwa very soft japo walikuwa wanaimba rock and roll; labda nyimbo zao zote hazikuwa rock and roll or who knows. Huu mziki sijajaribu kuufatilia umenipita mbali kidogo. .

Ila sikiliza beatles So Happy Together. .
Au champions wa hao hao the beetles
 
Crazy (1961) by Patsy Cline is my classic all time favourite country music song.
 
Nimekuwa naufatilia huu mziki wa singeli kwa kuwa naishi Manzese. Kwa kweli hata juzi nilimwambia mke wangu huu mziki wa kishetani [emoji1] People dance like wako possesed. watu wanachanganyikiwa huku uswahilini wanatimua vumbi, wanavua nguo, wanakalia chupa, wanazunguka barabarani mchana jua kali huku wakiwa hawajavaa chupi. Ukipigwa watu anacheza kama wafuasi wa mfalme zumaridi. .

Singeli ni mziko ambao uko so powerful, una nguvu ya ajabu huu mziki sio wa kawaida kabisa. Kuna wasanii wakiimba huu mziki wafuasi wanakuwa machizi. Unajiuliza hivi hawa watu vichwa haviwaumi, full kelele. .

Ila matajiri hawawez kusikiliza singeli labda matajiri wa uswahilini kama mimi[emoji1]
Ahahahahah kwel kbx hapo Zumarid anahusika asee Singeli siyo powaa
 
Napenda Sana country music hunipa utulivu wa nafsi..[emoji4]
Yah ni mziki unaofit sana ukiwa idle tired kabisa au ukiwa na kazi za slow slow, Zinalete furaha na kuchangamsha lakini pia zinakuinua ukishuka kihisia.
 
Mwalimu yeyote wa muziki,, lazima aanze na huu muziki,, bila huu muziki asingekuwa na miziki mingine,,,

Wanamuona Witney Houston kama mwimbaji aliyeimba note za juu,, huku kwenye classic ni mchumba tu
Hapo ndo naanza kukupata Maana huwa namfatilia huyo
 
Back
Top Bottom