CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Mwamba alivyoachwa na demu wake ni kama vile demu ameondoka na gundu la ugumu wa maisha,, utafute uusikilizeHyo inazungumzia nini haswa Mkuu
Mwamba alivyoachwa na demu wake ni kama vile demu ameondoka na gundu la ugumu wa maisha,, utafute uusikilizeHyo inazungumzia nini haswa Mkuu
Hawa wakina donny kenny walianza tangu vijana 🤷🤷 maana naona nyimbo zao nyingi ni watu wazima 😀😀😀Me nadhan ni mtazamo tu wa vijana kutoendana na lifestyle ya Country, Japo wapo waloimba tangu ujana mpaka wakazeeka na wapo vijana wa sasa wanaimba.
Vijana ni wengi mno wanaoimba Country wengi sanaaaMe nadhan ni mtazamo tu wa vijana kutoendana na lifestyle ya Country, Japo wapo waloimba tangu ujana mpaka wakazeeka na wapo vijana wa sasa wanaimba.
Kama huna hela this music is not for you 😃 my favorite classical very touching pieceDuuuh, Anamaanisha wapo wakali zaid? Eb elezo kidogo juu ya hiyo Classical mkuu
Anazungumzia genre mbili tofauti,, wakina luciano Pavarotti,,, na vipande vya nessun dorma au la donna e mobileKama huna hela this music is not for you [emoji2] my favorite classical very touching piece
Ndio anamanisha wako wakali zaidi.
Kwamba maskin ukiimba husikilizwi au inakuaje?Kama huna hela this music is not for you [emoji2] my favorite classical very touching piece
Ndio anamanisha wako wakali zaidi.
Mfano Kenny ameanza kitambo sana tangu ujana lakini alikua katika band, Amekuja kuimba kama msanii anaejiyegemea akiwa mtu mzima tayar ndo maana inakua ngum sana kumtambua ujana wake katika CountryHawa wakina donny kenny walianza tangu vijana [emoji1745][emoji1745] maana naona nyimbo zao nyingi ni watu wazima [emoji3][emoji3][emoji3]
Opera mziki au makelele najitahid ila ushanshinda😂Country ni mziki wa shamba. Ukiendelea kuusikiliza utakuwa hushiki pesa. .
Mziki wa matajiri unaujua 😃 unaitwa claasical music such as Opera
Hata mie namkubali sana sana Allan Jackson, Don Willium and Kenny Rogers my three favorite country musicians. Ila mdogo wangu anayenifuata yuko too deep ananiambiaga hao bado sana😃
😃😃
Nimekuwa naufatilia huu mziki wa singeli kwa kuwa naishi Manzese. Kwa kweli hata juzi nilimwambia mke wangu huu mziki wa kishetani 😄 People dance like wako possesed. watu wanachanganyikiwa huku uswahilini wanatimua vumbi, wanavua nguo, wanakalia chupa, wanazunguka barabarani mchana jua kali huku wakiwa hawajavaa chupi. Ukipigwa watu anacheza kama wafuasi wa mfalme zumaridi. .Kwamba maskin ukiimba husikilizwi au inakuaje?
Ujue Aina nyingine za mziki hiwa zinaendana tu na tabaka la watu flan kulingana na utamadun wao lakin haimaanish watu wa tabaka jingine hawawezi kufanya, Mfano bongo Singeli ya waswahili lakini hata Wanyasa wanafanya siku hizi[emoji23]
Man you are mean. Usipokuwa tajiri huwezi elewa you have to feel it with your heart experience it and have passion.Opera mziki au makelele najitahid ila ushanshinda😂
nazani ni soul na RnBHivi Lionel Richie tunamueka genre ipi ya Musik maana aga naona anaswagg za aina mbalimbali sana
👍👍👍Mfano Kenny ameanza kitambo sana tangu ujana lakini alikua katika band, Amekuja kuimba kama msanii anaejiyegemea akiwa mtu mzima tayar ndo maana inakua ngum sana kumtambua ujana wake katika Country
Are you a fan of classical music? Mpe kijana neno kuhusu huu mziki.Anazungumzia genre mbili tofauti,, wakina luciano Pavarotti,,, na vipande vya nessun dorma au la donna e mobile
Show zao watazamaji wengi ni wenye pesa,, and mostly huwa ni austria ticket za show huenda hadi 950k pesa ya kitanzania?Kwamba maskin ukiimba husikilizwi au inakuaje?
Ujue Aina nyingine za mziki hiwa zinaendana tu na tabaka la watu flan kulingana na utamadun wao lakin haimaanish watu wa tabaka jingine hawawezi kufanya, Mfano bongo Singeli ya waswahili lakini hata Wanyasa wanafanya siku hizi[emoji23]
Show zao watazamaji wengi ni wenye pesa,, and mostly huwa ni austria ticket za show huenda hadi 950k pesa ya kitanzaniaKwamba maskin ukiimba husikilizwi au inakuaje?
Ujue Aina nyingine za mziki hiwa zinaendana tu na tabaka la watu flan kulingana na utamadun wao lakin haimaanish watu wa tabaka jingine hawawezi kufanya, Mfano bongo Singeli ya waswahili lakini hata Wanyasa wanafanya siku hizi[emoji23]
😀😀😀 singeli ni sawa na hard rock music ukienda kwa wazungu sijawi elewa wanaimbaga manini yale zaidi ya kelele tuNimekuwa naufatilia huu mziki wa singeli kwa kuwa naishi Manzese. Kwa kweli hata juzi nilimwambia mke wangu huu mziki wa kishetani 😄 People dance like wako possesed. watu wanachanganyikiwa huku uswahilini wanatimua vumbi, wanavua nguo, wanakalia chupa, wanazunguka barabarani mchana jua kali huku wakiwa hawajavaa chupi. Ukipigwa watu anacheza kama wafuasi wa mfalme zumaridi. .
Singeli ni mziko ambao uko so powerful, una nguvu ya ajabu huu mziki sio wa kawaida kabisa. Kuna wasanii wakiimba huu mziki wafuasi wanakuwa machizi. Unajiuliza hivi hawa watu vichwa haviwaumi, full kelele. .
Ila matajiri hawawez kusikiliza singeli labda matajiri wa uswahilini kama mimi😄
kwavile haina makalio, vichupi na macheni ya kung’aa...vijana wengi wanaona boring nchini kwao wanaona mziki wa shambaYeah hawa wa kisasa pia wakali aga nawasikiliza wapo makin sana, Lakin naona dunia haiwapi sikio sana, unadhan kwanini?
Mwalimu yeyote wa muziki,, lazima aanze na huu muziki,, bila huu muziki asingekuwa na miziki mingine,,,Are you a fan of classical music? Mpe kijana neno kuhusu huu mziki.