Count Down!

Hongera mkuu kwa uamuzi wa kuamua kufunga ndoa...
 
Alilala na Bibi Harusi,
Siku moja kabla ya Harusi,
Na wala si Bwana Harusi,
Bado mnanishauri harusi?
.
Kuoa ni Jambo moja,
Kuishi na mke ushafikiria?
.
Labda miaka kadhaa ndio mniulize nitaoa lini!!!
.
Mwana FA - Utaoa Lini
 
mzee kumbe bado ...! karibu bwana katika jamvi letu wewe utakuwa junior. teh
 
Mkali umebwaga manyanga? Safi sana, ni PM namba yako ya mkononi nikutumie pongezi
 
na usalama wa taifa watajaa pale,kazi kwako Bujibuji!!
 
Be warned that tying a knot meaning throwing away your foolin around badge! Welcome to the clue matey!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…