Count down on Mzee wa Monduli

Count down on Mzee wa Monduli

I think most of us in this forum are just hypocrites for we keep on blaming these politicians like Rostam or Lowassa while we never blame those who have voted for them. The malicious and ridiculous allegations directed to Rostam or Lowassa are just based on mere speculations. Some folks are just after EL/Rostam because of their own personal political gains. There's no concrete evidence to suggest that EL/Rostam are involved in grand corruption. They are both innocent till proven guilty by the court of law and not street justice. Don't blame EL/Rostam for whatever crap you wanna pin them upon, instead you can deal with the wananchi who have put them in power!!
Gud night and Good luck!
this is typical of any Indian prat

goodnight and badluck to you dude
 
EL nimpambanaji awezi kufa kitoto huyu Rostam NI mdogosana kwa el sasa walikuwa wanamchafua el kupitia rostam sasatutaona wanawezaaaaaaa hapo patamu ,KIKUPACHO RAHA NA UCHUNGU KITAKUPA
lowasa ni ndoto za arinacha bwana tusubiri ile ni ngome na kama atajiuzulu gamba nusu kwa nusu tupoooo ?
 
I think most of us in this forum are just hypocrites for we keep on blaming these politicians like Rostam or Lowassa while we never blame those who have voted for them. The malicious and ridiculous allegations directed to Rostam or Lowassa are just based on mere speculations. Some folks are just after EL/Rostam because of their own personal political gains. There's no concrete evidence to suggest that EL/Rostam are involved in grand corruption. They are both innocent till proven guilty by the court of law and not street justice. Don't blame EL/Rostam for whatever crap you wanna pin them upon, instead you can deal with the wananchi who have put them in power!!Gud night and Good luck!
Kama ni safari ya kutoka dom dar huyu raj patel yupo chamwino na wenzake wapo kibaha yaani inaonekana mwalimu wako alipata taabu sana kukuelewesha maana una kichwa kizito
 
Tulishawaeleza hapa JF kuwa makofi yote aliyopigiwa Lowassa Bungeni yalikuwa yamelipiwa fedha. Wagawa fedha walikuwa Peter Serukamba, Pindi Chana, Makongoro Mahanga na Januari Makamba. Wengi "waliowezeshwa" kupiga makofi kwa nguvu walikuwa Wazanzibari ambao wanapapatikia sana fedha za chee.
Ulikuwepo Hizo Pesa Zikigaiwa!Acha Unaaaaa!
 
Kwa mtazamo wangu, kumgusa Mzee wa Mvi ni vigumu sana; ni sawa na kumchezea Mshenga aliyekupigia goti kwa Mzee Mkorofi na asiyeingilika kwa masikhara nawe ukapata Mke. Tusubiri tuone
 
Kwa EL shughuli ipo, maana jamaa kajijengea human shield kubwa sana Monduli.. kule jamaa wanamuona kama nyerere wao.

Anyway let's wait and see!
 
Lowasa aachwe ili iwe rahisi kuwatoa wakoloni weusi madarakani 2015
 
Unasema vipi yuko Arusha wakati tunamuona Bungeni.?
Lakini itakuwa wazo zuri aende Arusha awatangazie morani kwamba ameamua kujiuzulu.
 
Wana JF,

IKULU ni mzingo IKULU kuna nini pale? Mwl. Nyerere kawa Rais wa Tanzania kwa muda mrefu zaid ya marais wengine na nikijaribu kuangalia IKULU sio mahali pa kukimbilia kwani pale IKULU kuna biashara gani? watu mpaka mkanyagane kukimbilia pale IKULU maana tunachokiaona sasa ni dhahili kuwa viongozi hawa tena kuanzia bungeni ndipo kuna kambi nyingi zikikinzana kwa ajili ya kumtaka mtu wao kuingia IKULU, Nashindwa kuwaelewa hawa viongozi wetu uadilifu wao uko wapi hawendi na dhana kamili ya nyakati zilizopo wananchi wanafikiri pia na kutafakari ya hawa viongozi wanavyo suguana kwa ajiri ya Urais 2015 inamaaana hata mijadala yote bungeni this time ni danganya toto watu wameenda jichukulia umaarufu bungeni.

Kwa sasa ukiwauliza(mwa or wananchi) nchi yetu Tanzania na serikali yake iko katika hali gani kweli nao hawato jua bali watakuambia no direction period. kama rais alidiliki kusema ntawatoa hapa na ntawapeleka pale pasipo vipimo leo hii mtanzania wa kawaida ataweza sema nchi yake/yangu iko mahali fulani kweli zaidi ya kuwa na machungu ya kusema CCM nchi imewashinda hapa ni tutapigana siku si nyingi, wengine nchi iuzwe kila mtu apewe chake. Ukiona hayo yote ni kuwa serikali iliyoka madarakani haina MUSTAKABARI wake wa Kuiongoza hii nchi bali wapo kupiga blah blah tu kwani walipo jipanga kuingia IKULU 2005 walikuwa wote kwa jina la a.k.a Wana Mtandao kumbe hawakujua wananenda kufanya nini IKULU matokeo yake ndio yale Mwl.Nyerere alisema IKULU munapakimbilia kuna nini ni mzigo mzito wao wameenda fanya biashara na sasa inawatokea puani na hii laana ya baba wa Taifa itawakula tuu hao viongozi wanao ikubilia IKULU kwa maslahi yao jamani hawa viongozi hawajui kuna Mungu nadhani watu wanasali kila kukicha kuliombea Taifa lao Tanzania viongozi wao ni kula pesa za walipa kodi, Nadhani mwakumbuka Misri Mubarak alishinda kwa kishindo over 80% na kumbukeni nchi hiyo waislamu ni wengi kuliko wakristo je kilitokea nini wananchi hao hao waliokupigia kura za kishindo wakaingia mtaani hawakutaki na ndivyo ilivyo tokea kwa JK alishinda kwa kishindo 2005 na 2010 alishindwa uchaguzi kwa muji wa kura za halali na sio zile kura za NEC kupitia laptop. Still CCM hawajajifunza bali.

Kumbukeni enzi ya uongozi wa Mwl.Nyerere aliweza kujenga hoja Matajiri wakawa wananchama tu wakawaida ndani ya chama na wakakisaidia chama na viongozi walikuwa waadilifu kwa TANU/CCM mwanzoni ila baada ya Azimio la Arusha kupigwa ngwala na viongozi ambao baadhi yao bado wako ndani ya CCM hawakujua alama za nyakati kabisaaa. jamani nawataalifu sasa Yale yote Mwl.Nyerere aliyo yasema Yana timia sasa CCM itagawanyika yenywe na kuleta upinzani wao kwa wao na CDM ndicho chama alikitaja Nyerere afadhali na sasa ndio kweli kinaonekana, wapi viiongozi wa CCM hamkuona hili??

 
Unajuwa RA pia si Mtanzania lazima aagope sana ukilinganisha na EL na Chenge, ila sijauwa mpira utaendaje maana hii inaonyesha wazi kuwa kuna jambo laja maana hamna kitu RA hasinge gwaya
jenga hoja wewe acha ubaguzi. Tangu lini asiye raia akaruhusiwa kuwania nafasi yoyote nchini?
 
Ccm yaendelea kutafuta mchawi wa kushuka kwa umaarufu mpsaka kuzidi kuzidiwa na chadema.......................kumbe mchawi ni kikwete na mafisadi wenzake na ccm yenyewe............
 
Lowasa ndo president wenu bisheni na igunga magamba wanajipanga kwa stlye ya hatari
 
Hakuna zaidi ya chama na kama ni uvunjifu wa amani dola itachukua nafasi yake.Tuache ushabiki wa kinafiki na kupuuza hatua zilizochukuliwa.Lowasa leo hawezi kuwa bora humu janvini huku wakati wa sakata la Richmond alivulumishiwa kejeli na matusi juu
ya ufisadi hapa hapa.Ebu tuwe decisive katika hoja zetu kwa maana ya ''nyeusi kubakia nyeusi'' na si ''nyeusi kugeuzwa nyeupe''.Usafi wa Lowassa leo hii uko wapi kama si ulegelege wa Kikwete!
 
Back
Top Bottom