Count down...Kalenga; Hata wewe ungekuwepo ungempigia kura Grace Tendega Mvanda, ungechagua CHADEMA

CHADEMA

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
488
2,468
Msikilize Kamanda Grace Tendega Mvanda na kampeni za CHADEMA, kisha umsikilize mgombea wa CCM (ambaye hapewi muda mwingi wa kuzungumza zaidi ya dakika 3 kwenye mikutano) na kampeni za chama hicho, utaona tofauti kubwa mno huku ushindi ukionekana dhahiri kwa CHADEMA.

Hata wewe leo ungekuwa Kalenga, ungempigia kura Grace Tendega Mvanda, ungeichagua CHADEMA.


MKUTANO WA KAMPENI, GRACE TENDEGA MVANDA, CHADEMA MAJI MARCH 3 KALENGA - YouTubeCHADEMA KAMPENI MARCH 1 KALENGA 2 - YouTube

MKUTANO WA KAMPENI ZA GRACE TENDEGA MVANDA, CHADEMA MAJI MARCH 3 KALENGA 2 - YouTube

KAMPENI ZA GRACE TENDEGA MVANDA, CHADEMA WAFUGAJI MARCH 5 KALENGA 1 - YouTube

CHADEMA WAFUGAJI MARCH 5 KALENGA 2 - YouTube

More videos to come...
 
Hebu katika siku hizi zilizobaki waambieni watu wa Kalenga wamuulize Mgimwa Jr, kama baba yake ambaye mpaka Uwaziri wa Fedha alipewa kashindwa kuleta maendeleo Kalenga jee yeye atawezaje? Huo ubora yeye kautoa wapi zaidi ya mzazi wake?
Waache usanii,kazi ilishawashinda. Ona kama picha hii, kijiji kinaonekana ni masikini wa kutupa. Watoto wote hawana viatu na hata shule hawaendi hao jee for 50 years CCM wameshindwa kuwakwamua au waliwaacha wajijue wenyewe?
View attachment 144334


Sent from my iPad using JamiiForums
 
ningempigia huyu mama ingawa sina record yake lakini anaonekana kuyaelewa vema matatizo ya kalenga na she is talking with conviction and passion kwamba matatizo ya kalenga yanamgusa na kumtesa. Dogo Mgwimwa nimeangalia video zake mdomo mzito na anaonekana he has been coached plus bunch of rehearsals.
 
Ningempigia grace coz nimemsikiliza kwa kipindi kifupi sana but anaonekana ni mtu makini atakayeweza kutatua matatizo ya wana kalenga, ambayo wabunge wa chama tawala mbali na kwamba wao ndo wameshikilia serikali wameshindwa kabisa kuyatatua for the past 50 years.
 
Kama CDM mna nia ya kweli ya kutatua tatizo la maji basi mngetueleza pesa za uchimbaji visima zimetumikaje, visima vingapi vimechimbwa na vipo maeneo yapi.
 
Location : KIJIWE SAMRI-BOM BOM
Aisee, kumbe wewe jirani yangu kabisa. Hapo Bom bom huwa nikipita salama lazima nimshukuru Mungu, maana mateja wa hapo ni balaa, halafu ndio wazazi wa watoto wa mbwa-mwitu
 
mpaka hapa inaonyesha ni jinsi gani Mungu anaendelea kuipigania Cdm,we are keep and keeping going to changes
 
ningempigia huyu mama
ingawa sina record yake lakini anaonekana kuyaelewa vema matatizo ya
kalenga na she is talking with conviction and passion kwamba matatizo ya
kalenga yanamgusa na kumtesa. Dogo Mgwimwa nimeangalia video zake mdomo
mzito na anaonekana he has been coached plus bunch of
rehearsals.

dogo mgimwa he is like sioi sumari madomo zege
 
Kama CDM mna nia ya kweli ya kutatua tatizo la maji basi mngetueleza pesa za uchimbaji visima zimetumikaje, visima vingapi vimechimbwa na vipo maeneo yapi.

Fedha za EPA, chenji ya RADA, chenji ya DOWANS na RICHMOND nk zipo wapi?
 
Kama CDM mna nia ya kweli ya kutatua tatizo la maji basi mngetueleza pesa za uchimbaji visima zimetumikaje, visima vingapi vimechimbwa na vipo maeneo yapi.

kamuulize aliyezitoa ndie anajua pesa zake zilivyotumika na utaratibu wa kuzitumia,otherwise wewe labda uwe mke wake utujuze alitoa ngapi na zimetumikaje!!! na je malengo yake yametimizwa au vp????
 
kamuulize aliyezitoa ndie anajua pesa zake zilivyotumika na utaratibu wa kuzitumia,otherwise wewe labda uwe mke wake utujuze alitoa ngapi na zimetumikaje!!! na je malengo yake yametimizwa au vp????

Mbona diwani wa Chadema Kaloleni alishinda na alikuwa hawezi kuongea wacha hizo dakika tatu yeye hata moja ilimshinda wadanganyika bwana!
 
Back
Top Bottom