Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?

Wajinga nyinyi kila tukio mnahusisha siasa , fooo
Hapa mjinga ni nani sasa: Africaintelligence ambao waliandika habari hii kabla ya MO kutekwa?, aliyeleta post hii hapa JF? au wewe ambaye umekubali akili zako zitunzwe na watu wengine awamu hii?
 
.....kwahiyo MO akifilisiwa wewe unamiliki utajiri wake! kuna nyakati nahisi mtu mweusi ni toleo la mwisho katika uumbaji daah! maana sikwaakili hizi
 
.....kwahiyo MO akifilisiwa wewe unamiliki utajiri wake! kuna nyakati nahisi mtu mweusi ni toleo la mwisho katika uumbaji daah! maana sikwaakili hizi


Dunia nzima hufanya hivyo au walifanya hivyo, na Mungu huwabariki wanaojitambua kujipa upendeleo wa makusudi, ndo maana Wahindi wameendelea kwa maana wanajipendelea, hizo Kampuni za Dewji zote managerial positions ni Wahindi na siyo au Mchina sijui Mzungu unafikiri ni kwa nini?
 
Ndiyo maana wewe ni nusu mtu.
 

Kwanza kiusalama wa nchi Nchi (Serikali) haiwezi kufanya uhalifu kama huo kamwe sababu kwanza ni kuhatarisha usalama wa nchi kimataifa....na hasa ukizingatia Mo ni Public Figure...hapo ilipo habari zitakuwa zishafika hadi kwa Rais wa Marekani..Mtu kama Mo ni mkubwa si tu kwetu hadi kimataifa sababu ni mtu anayefanya biashara kubwa. Hivyo Kiongozi wa Serikali yeyote hawezi kujihusisha ktk kitu kama hicho. Itakuwa imechafu taswira ya nchi, na wageni watajiona hawako salama kuja Tanzania wakati Tanzania ndio nchi iliyokuwa kimbilio la Raia wengi wa kigeni.

Mimi nakanusha kuwa kiongozi yeyote wa Serikali hawezi husika ktk hii...Sababu ishabeba tayari taswira mbaya kwa Raia wa kigeni kuwa nchi si salama tena...

Hao ni waovu tuu wa kawaida..wa kigeni pengine wakishirikiana na wakitanzania
 
Kwani MO ni wa kwanza kutekwa?
Ben Saanane,Azori,Zakaria ,Kanguye Super Sami na wengine wengi.
Magufuli anahusika na ndiye anayetoa maagizo ya watu kupotezwa.
Nyie mataahira endeleeni kushangilia ujinga ipo siku tu.
Msisahau kuwa hata Deo Mwanyika wa Acacia alitekwa uwanja wa ndege Songwe, akasafitishwa usiku na kufichwa kwenye majumba yao. Aliachiwa siku ya pili baada ya Barrick kuja juu na kuwaambia kuwa asingeachiwa baada ya masaa 48, wangeitoa taarifa hiyo rasmi Duniani kote.

Akaachiwa kwa masharti taarifa hiyo isiwekwe wazi lakini Jiwe alifura hasa kwa hicho kitisho.
 
Hawa wanaojiita Africa Intelligence nadhani ni wachochezi!
Hao ni kikundi cha Wakenya wanaoharibi siasa za TZ. Walifabnya hivyo wakati wa uchaguzi mkuu, ajabu hawasemi lolote juu ya ufisadi na mauaji ya Kenya.
 
Stupid President, hili jamaa litateka hadi marais wastaafu.
Kikwete boya sana,walijua kabisa Magufuli hana hadhi ya kuwa Rais,yet wakalazimisha.
Nakuambia watatekwa wengi mno ,Magufuli smells the blood of the innocents .
Hii JF imeachwa makusudi iwepo,kuna kundi kubwa la vijana limetumwa South Korea kusomea hacking ili kuidukua JF,la pili ili wapate kujua nguvu ya umma ikoje dhidi ya serikali.
TB Joshua predicted the worst ending of Tanzania under Magufuli regime, kina Mbowe wanajua aliwaambia wasiseme hadi utabiri utimie.
Hata haya mataahira ya CCM yanayoshinda humu kumsifia huyu ibilisi iko siku yataacha baada ya wazazi wao kutekwa.
 
Wewe hujitambui kazi kushabikia serikali katili hii.
Wakati Tundu Lissu anapigwa risasi hakuwa public figure?
Wakati Zakaria ana save kifo kisha wasiojulikana wakajulikana hakuwa public figure?
Wakati Ben Saanane na Azori wanatekwa na kupotezwa hawakuwa public figure?
Magufuli ni muuaji katili mno, nyie endeleeni kumshabikia,ila Mungu atalipa kisasi.
 
Una
Kwani MO ni wa kwanza kutekwa?
Ben Saanane,Azori,Zakaria ,Kanguye Super Sami na wengine wengi.
Magufuli anahusika na ndiye anayetoa maagizo ya watu kupotezwa.
Nyie mataahira endeleeni kushangilia ujinga ipo siku tu.
Una ushahidi kuwa h. Rais anahusika? Ushahidi unao?
 
Funny stupidity. Tunajadili siasa kwa ufahamu wote, wewe unaleta mambo ya TB Joshua Tapeli! yaani nchi iendeshwe kwa utabili wa mtu muhuni! wewe ni irresponsible wa ngazi ya juu.
 
Nadhani wa kwanza kutekwa amma kuuawa atakuwa Mkapa. Huyu ndio JIWE anamwona tishio kwake kuwa rais wa maisha. Akiondoka huyo, ataondoka na kipengele cha ukomo wa madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…